Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tazara Wana treni 2 za kutoka Dar- Kapiri mposhi(Zambia). Wana Express hii haisimami kila kituo Ina vituo vikubwa kutoka Dar-Tunduma pia wanayo Ordinary ambayo inasimama kila kituo kuchukua na abiria na inatumia muda mrefu kidogo Dar-Tunduma.Ndio umemaliza kuongea?. π Jamani sema ni express la wapi? Ndio ilo la dk 45 Moro? Au niaje
Asante Mkuu, nikija huko nitakupigisha road trip ya Mguu. Toka S/Matola-Uhindini-Jacaranda-Meta Sec mpaka Old Forest. Ukiwa vizuri tunaenda mpaka mitaa ya Mzumbe.
ππππ hii hutumii gharama samaki wa laki mmoja unapata kwa nusu bei kabisaaa hiyo mida mibovuuuKitambo Sana Kuna jamaa yetu kule City without Ocean, alikuwa anazama viwanja mida mibovu kukamata Papa na nyangumi kwa kutumia mkono.
Huko kote nimepiga.Asante Mkuu, nikija huko nitakupigisha road trip ya Mguu. Toka S/Matola-Uhindini-Jacaranda-Meta Sec mpaka Old Forest. Ukiwa vizuri tunaenda mpaka mitaa ya Mzumbe.
Hiyo mitaa watoto wa uswazi wakikusumbua mcheki mshua Bujibuji.
Piga trip..Mi yangu ni uhakika ni suala la lini tuianze
Cost minimization.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii hutumii gharama samaki wa laki mmoja unapata kwa nusu bei kabisaaa hiyo mida mibovuuu
Ila Mimi ninalo ...Hii ni JF. Kila mtu ana gari. Ushindwe wewe
πππ hii muhimu kuokoa gharama, kabla nguvu hazijaisha Trip zangu zilikuwa zinakenga kuingia hata hotelin saa kumi au saa tisa usiku unakuwa kama umekaa siku mbili kwa malipo mamoja ... nyie watoto wa mama haya mambo hamuyajui
Naomba lift hadi Dodoma endapo utasafiri weekend.Mi yangu ni uhakika ni suala la lini tuianze
Ukiingia saa 10 unatoka saa ngapi?[emoji3][emoji3][emoji3] hii muhimu kuokoa gharama, kabla nguvu hazijaisha Trip zangu zilikuwa zinakenga kuingia hata hotelin saa kumi au saa tisa usiku unakuwa kama umekaa siku mbili kwa malipo mamoja ... nyie watoto wa mama haya mambo hamuyajui
Naona nazidi kusogeza mbele tu. Kuna jambo linanishindilia siwezi kutoka mjini. Sijui nitaingia lini barabarani
Usiulize maswali ambayo majibu yake huwezi kuyachambua asilani [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiingia saa 10 unatoka saa ngapi?
Hivi utaratibu huwa upoje?
Uko vizuri sana mzee wa kuvua samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiingia saa 10 au saa 9 usiku hiyo hadi siku inayofata saa tano asubuhi mkuu... siwezi chukua room saa tano usiku au saa nne matumizi manaya pesa πππUkiingia saa 10 unatoka saa ngapi?
Hivi utaratibu huwa upoje?
Uko vizuri sana mzee wa kuvua samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππ nasubiri wiki ijayo jumamosi kama ya leo nakiamshaNaona nazidi kusogeza mbele tu. Kuna jambo linanishindilia siwezi kutoka mjini. Sijui nitaingia lini barabarani
Jambo gani hilo?Naona nazidi kusogeza mbele tu. Kuna jambo linanishindilia siwezi kutoka mjini. Sijui nitaingia lini barabarani
hizi ni complex kwake πππUsiulize maswali ambayo majibu yake huwezi kuyachambua asilani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa mfano umeingia usiku saa9 leo,,Nikiingia saa 10 au saa 9 usiku hiyo hadi siku inayofata saa tano asubuhi mkuu... siwezi chukua room saa tano usiku au saa nne matumizi manaya pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiulize maswali ambayo majibu yake huwezi kuyachambua asilani [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah inaonekana umesoma Sangu. Nitakutembeza route ya Zamani Forest mpk Sae.Huko kote nimepiga.
Nishatembea Sana Sangu,forest batokezea kadeghe au meta kupanda daladala...
Skuu hadi matola
Sangu Hadi mwanjelwa
Itende Hadi iwambi via iyunga boys nyuma..
Trip za miguu nipo vizuri.
Haha bujibuji gwa kukaja.
Karibu,ukifika nitakuambia nilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimewahi lala lodge kipindi naenda chuo, niliambiwa saa4 asbh hela yangu inaisha.hizi ni complex kwake [emoji1][emoji1][emoji1]