Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndio umemaliza kuongea?. 😂 Jamani sema ni express la wapi? Ndio ilo la dk 45 Moro? Au niaje
Tazara Wana treni 2 za kutoka Dar- Kapiri mposhi(Zambia). Wana Express hii haisimami kila kituo Ina vituo vikubwa kutoka Dar-Tunduma pia wanayo Ordinary ambayo inasimama kila kituo kuchukua na abiria na inatumia muda mrefu kidogo Dar-Tunduma.

Hivyo mtu anaweza akasafiri Dar-Ifakara/Makambako/Mbeya/Tunduma kutalii na kurudi na basi.
 
[emoji38]
Bar za Uyole sizijui,

Nipo matola mkuu.

Karibu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu, nikija huko nitakupigisha road trip ya Mguu. Toka S/Matola-Uhindini-Jacaranda-Meta Sec mpaka Old Forest. Ukiwa vizuri tunaenda mpaka mitaa ya Mzumbe.

Hiyo mitaa watoto wa uswazi wakikusumbua mcheki mshua Bujibuji.
 
Asante Mkuu, nikija huko nitakupigisha road trip ya Mguu. Toka S/Matola-Uhindini-Jacaranda-Meta Sec mpaka Old Forest. Ukiwa vizuri tunaenda mpaka mitaa ya Mzumbe.

Hiyo mitaa watoto wa uswazi wakikusumbua mcheki mshua Bujibuji.
Huko kote nimepiga.


Nishatembea Sana Sangu,forest natokezea kadeghe au meta kupanda daladala...

Skuu hadi matola

Sangu Hadi mwanjelwa

Itende Hadi iwambi via iyunga boys nyuma..


Trip za miguu nipo vizuri.

Haha bujibuji gwa kukaja.



Karibu,ukifika nitakuambia nilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cost minimization.

Uko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 hii muhimu kuokoa gharama, kabla nguvu hazijaisha Trip zangu zilikuwa zinakenga kuingia hata hotelin saa kumi au saa tisa usiku unakuwa kama umekaa siku mbili kwa malipo mamoja ... nyie watoto wa mama haya mambo hamuyajui
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hii muhimu kuokoa gharama, kabla nguvu hazijaisha Trip zangu zilikuwa zinakenga kuingia hata hotelin saa kumi au saa tisa usiku unakuwa kama umekaa siku mbili kwa malipo mamoja ... nyie watoto wa mama haya mambo hamuyajui
Ukiingia saa 10 unatoka saa ngapi?
Hivi utaratibu huwa upoje?



Uko vizuri sana mzee wa kuvua samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiingia saa 10 unatoka saa ngapi?
Hivi utaratibu huwa upoje?



Uko vizuri sana mzee wa kuvua samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiingia saa 10 au saa 9 usiku hiyo hadi siku inayofata saa tano asubuhi mkuu... siwezi chukua room saa tano usiku au saa nne matumizi manaya pesa 😂😂😂
 
Naona nazidi kusogeza mbele tu. Kuna jambo linanishindilia siwezi kutoka mjini. Sijui nitaingia lini barabarani
Jambo gani hilo?
Halafu leo weekend, natamani nije kuchukua mzigo wangu..
Nakukumbusha Leo tar 4,hela zinakaribia kuisha[emoji23][emoji23]sitakulipa ,shauri yako[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiingia saa 10 au saa 9 usiku hiyo hadi siku inayofata saa tano asubuhi mkuu... siwezi chukua room saa tano usiku au saa nne matumizi manaya pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa mfano umeingia usiku saa9 leo,,
Si inatakiwa utoke leo saa5 asbh ,
Sasa una tofauti gani na mtu aliyechukua saa5 usiku wa kuamkia Leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kote nimepiga.


Nishatembea Sana Sangu,forest batokezea kadeghe au meta kupanda daladala...

Skuu hadi matola

Sangu Hadi mwanjelwa

Itende Hadi iwambi via iyunga boys nyuma..


Trip za miguu nipo vizuri.

Haha bujibuji gwa kukaja.



Karibu,ukifika nitakuambia nilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah inaonekana umesoma Sangu. Nitakutembeza route ya Zamani Forest mpk Sae.
 
hizi ni complex kwake [emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi nimewahi lala lodge kipindi naenda chuo, niliambiwa saa4 asbh hela yangu inaisha.

Nilifika saa3 usiku .

Sasa wewe ukiingia saa 8 usiku,saa 4asbh unatakiwa utoke,si Bora aliyeingia saa 3 usiku anakuwa amekaa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom