Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mubashara,si unapiga video call..mm nakuwa naangalia matukio tu yanaondelea na samaki uliyemuopoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
🧔🏼‍♂️🧔🏼‍♂️🧔🏼‍♂️🧔🏼‍♂️ hutaki kuona utaratibu wa hotel wa kuingia na kutoka kumbe .. achana na samaki tunaenda na wewe ujifunze mambo mapya vipi weweeee 🥸🥸🥸
 
[emoji7]

Hii ni ya wapi?

Ila njia ya treni huwa inaniogopesha Sana..yaani nyembamba halafu treni inatakiwa ilenge mulemule[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ninavyojua halina ugumu sana kulinganisha na usafiri wa aina nyingine kama ndege au meli

Ugumu sana sana upo kwenye kufunga brake ndiyo dereva atakiwa awe makini maana lile brake zake hazifungwi kama za gari

Ndiyo maana hata ajali zake ni chache sana na zikitokea huwa ni nadra sana kuua au kujeruhi watu wengi labda atokee mtu kwa nje agongwe au akanyagwe na huwa siyo kosa la dereva

Sasa ukutane na dereva anayelikimbiza wallahi utashinda kwenye behewa moja tu kutwa nzima au utasubiri hadi lisimame stesheni

Maana kuvuka kutoka behewa moja hadi jingine pale kwenye maungio huwa panachezacheza sana usipojishikilia waweza kuanguka au kujigonga

Kwa ninyi waoga ponapona yenu labda mvua inyeshe hapo ndiyo lazima liendeshwe taratibu sana maana reli inakuwa inateleza

All ni all ni usafiri mzuri sana kwa kutalii kama una safari ndefu na ukaboard yale madaraja yenye vitanda utaenjoy
 
Watu wa Dar ukiwa nje ya dar tuna show love sana, ukija tu tuna ku kwepa [emoji28][emoji28][emoji28] hii ndio Dar
Kweli,hata mimi nimeiona hii.
Ukiwepo wewe mmoja wapo na wa kwanza,,japo siyo wote wana hii tabia.
Sasa sijui mnadhani tutawaomba hela au kuharibu bajeti zenu za chakula[emoji1787].

Unanikwepa mimi nina kila kitu changu siombi chocolate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mio sio kweli... mkarimu sanaaa hujagi vipande vyangu ukitokea haya maeneo ukinicheki tu naku kirimu vizuri kabisaa 😎😎
 
Ohoo mvua ikinyesha reli inateleza[emoji1751],,hapo siwezi kupanda.

Huwa nawaza tu,yaani njia yake haina option ya kisogea pembeni,,
Dereva alenge tumulemule[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…