Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mimi nikifikiria zoezi la kuosha vyombo[emoji1751]
Natamani niishi tu mwenyewe siku zote..huo uwife material ushanipita pembeni.
Mimi sitaishia kutamani tu bali ndiyo aina ya maisha ambayo nimeyachagua ya kuishi mwenyewe

Tatizo wanawake wengi kinachowakwamisha ni ile kuhitaji kuhudumiwa na wanaume ndicho wanachosema

Lakini mwanamke ukiwa na pesa zako na siyo sex maniac unaweza kuishi mwenyewe na kuwa single vizuri tu
 
Mimi natamani hayo maisha ila kuyaishi sitoweza maana kuna muda utafika nitahitaji kuwa na familia.

Ila kasheshe ya kuosheana vyombo dah[emoji1751]


...............
Shida siyo kupenda kuhudumiwa ,

Kuna muda utafika hata kama unajiweza kwa kila kitu; lazima utahitaji uwepo wa mtu.
Amini nakuambia[emoji23].
 
[emoji1787][emoji1787] imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.
Umeona eeeh!
Upo unahangaika mtoto wa watu kumbe mwenzio hata habari na wewe hana.

Mimi vyombo tu dah!
Sipendi tangu Nikiwa mtoto..
Sasa napiga picha naenda kuishi na mtoto wa mtu sijui itakuwaje [emoji16],kuanza kusubiri ale nioshe[emoji1751]nishazoea vyombo vyangu namaliza kupika jikoni kila chombo nikitumia naosha hapohapo.
 
[emoji1787][emoji1787] imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.
Na hicho ndicho kinachowaumiza wanawake wengi

Uko busy kumhangaikia mtu ambaye kawapanga eti kwa sababu ya mapungufu yako madogo madogo tu

Mimi ndiyo maana nasemaga hayo mambo bora tu mtu ufanye pale unapopenda mwenyewe na siyo kumfurahisha mtu na kama unaona haupendi acha wala usijitese
 
Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani

Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa

Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…