Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 Mwaga mawazo ukirudi mjini kazi kaziNaishia restaurant kula then narudi room
Twende Dubai December tukapige hizo desert safariHaya maisha one day yes ...
View attachment 1934277
Wazo zuri sana, goja niliweka kwenye mkakati wa utelekezaji maisha ndio haya hayaTwende Dubai December tukapige hizo desert safari
Mimi sitaishia kutamani tu bali ndiyo aina ya maisha ambayo nimeyachagua ya kuishi mwenyeweMimi nikifikiria zoezi la kuosha vyombo[emoji1751]
Natamani niishi tu mwenyewe siku zote..huo uwife material ushanipita pembeni.
Mimi natamani hayo maisha ila kuyaishi sitoweza maana kuna muda utafika nitahitaji kuwa na familia.Mimi sitaishia kutamani tu bali ndiyo aina ya maisha ambayo nimeyachagua ya kuishi mwenyewe
Tatizo wanawake wengi kinachowakwamisha ni ile kuhitaji kuhudumiwa na wanaume ndicho wanachosema
Lakini mwanamke ukiwa na pesa zako na siyo sex maniac unaweza kuishi mwenyewe na kuwa single vizuri tu
Acha kunisingizia.Nilimpa offer huyu Saint Anne ya kwenda alileta visingizio huenda nae angepajua na akawa ameweka chata yake hapo [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari ipi tena? Vinywaji vya mapisi vinajulikana.. Nimeviona hadi koo limeshtuka [emoji23]
Wapi na Mimi niendeKijiwe chetu wazee wa road trip
Cc Holy Man
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na sie siku hizi hatupendi wife material hata, tunapenda miili yenu tu [emoji4][emoji4][emoji4]
Umeona eeeh![emoji1787][emoji1787] imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.
Na hicho ndicho kinachowaumiza wanawake wengi[emoji1787][emoji1787] imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.
Hehe si unaonaShida ipo wapi kuchart na mpenzi wake ?
acheni ubinafsi aseee.. nyie mpo wengi zaidi ya wanaumeHehe si unaona
acha kunyimia vitu ulivyopewa bure 😊😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo vyombo kila mtu atajioshea nyumbani!?
Hii sifa moja ya uvivu wa kuosha vyombo ishanitoa kwenye uwife material...wacha niendelee kula maisha ya pekeyangu.
Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbaniMimi natamani hayo maisha ila kuyaishi sitoweza maana kuna muda utafika nitahitaji kuwa na familia.
Ila kasheshe ya kuosheana vyombo dah[emoji1751]
...............
Shida siyo kupenda kuhudumiwa ,
Kuna muda utafika hata kama unajiweza kwa kila kitu; lazima utahitaji uwepo wa mtu.
Amini nakuambia[emoji23].
Hataki kuniambia..Kwa mtaji huo jukumu la kumwambia hapa wapi nakuachia wewe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani
Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa
Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
Si umeambiwa Cate hotel MorogoroWapi na Mimi niende