Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Safi sanaeeh! na nyie mkitaba badiri ruksa
Unaziruka tu mkuu,Karma na wenzako msituharibie uzi sisi wasoma komenti[emoji35][emoji35][emoji35]
Wasukuma tena[emoji848]Tabia hizi wanazo sanasana wasukuma.
Mimi kuna shemeji yangu huyo yaani akikuta mtoto wake wa kiume yupo jikoni ni kesi.
Eti mtoto wa kiume hatakiwi kugusa jiko![emoji134]..
Ongeza nyama kiongoziKuna shida pahala[emoji848]
Na ndiyo maana pesa ya mwanamke anaona bora iwe ni yake peke yake maana kama mwenzie hamsaidii majukumu yake kwanini yeye amsaidieTabia hizi wanazo sanasana wasukuma.
Mimi kuna shemeji yangu huyo yaani akikuta mtoto wake wa kiume yupo jikoni ni kesi.
Eti mtoto wa kiume hatakiwi kugusa jiko![emoji134]...
Amen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza pata mtu hana matatizo kabisa,ukiachilia mbali matatizo madogo madogo tu madhaifu ambayo kila mtu anayo...
Teh teh safiKama nyie ndio siku hizi tuna watafuta mmekuwa almasi kabisaaa
Shida iko kwa jamii yenu siyo sisiKuna shida pahala[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma tena[emoji848]
Watu wanataka waishi Kama walemavu,Na ndiyo maana pesa ya mwanamke anaona bora iwe ni yake peke yake maana kama mwenzie hamsaidii majukumu yake kwanini yeye amsaidie...
Imekaa poa sana, ukishaianza pale mtoni, mizani ya zamaniBaada ya miaka mingi sana leo ndio nimetumia njia ya Chalinze-Dar. Leo ilikuwa poa ila zile njia sita.....RIP Magu! Zimenikumbusha motorways ughaibuni. Shida tu walipoweka 50kph limit.
Eeh! inabidi unipe moyo wako nipige trip mkuu 😎😎Teh teh safi
Mwamba alifanya kazi kubwa. Wema hawadumuBaada ya miaka mingi sana leo ndio nimetumia njia ya Chalinze-Dar. Leo ilikuwa poa ila zile njia sita.....RIP Magu! Zimenikumbusha motorways ughaibuni. Shida tu walipoweka 50kph limit.
Imekaa poa sana, ukishaianza pale mtoni, mizani ya zamani
Unaweka chuma kati, si kushoto ama kulia
unateleza uwezavyo hadi kimara round about
Pametulia
Yeah!Imagine ingefika Chalinze! Duh nilikuwa hata sijui Chalinze kuna round about [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeelewa ila ni ngumu kutekelezeka. Mfano pale Mikese ni balaa. Ila hii njia Kibaha-Morogoro inabidi iwe dual carriageway. Ina foleni kama Kilwa road😇😇Yeah!
Wengi inawachanganya[emoji3], uliona ule mzani kabla mzani pale vigwaza, umeelewa sasa nilichokiandika siku chache zilizopita[emoji41][emoji848]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu wanataka waishi Kama walemavu,
Mwanaume na minguvu yake yote ila anataka kufanyiwa kila kitu utadhani hana mikono..
Wanadhani wanawake wana engine mikononi,[emoji16]
Ila Kuna wanawake watafika mbinguni wakiwa wamechoka Sana.
Morogoro ingekuwa ni mwendo wa saa moja na nusu tuImagine ingefika Chalinze! Duh nilikuwa hata sijui Chalinze kuna round about 😂😂😂
Ingefika chalinze nisingekuwa napita bagamoyo tena.Imagine ingefika Chalinze! Duh nilikuwa hata sijui Chalinze kuna round about [emoji23][emoji23][emoji23]