Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tabia hizi wanazo sanasana wasukuma.

Mimi kuna shemeji yangu huyo yaani akikuta mtoto wake wa kiume yupo jikoni ni kesi.
Eti mtoto wa kiume hatakiwi kugusa jiko![emoji134]...
Na ndiyo maana pesa ya mwanamke anaona bora iwe ni yake peke yake maana kama mwenzie hamsaidii majukumu yake kwanini yeye amsaidie

Na ndiyo chanzo cha kuanza kunyimwa unyumba maana kwa majukumu hayo na wanawake walivyo na low libido hiyo hamu ya sex kila siku anatoa wapi

Na siyo wasukuma tu makabila mengi yana huo utamaduni wa ajabu ajabu na tusipobadilika tukaendelea kushupaza shingo basi yajayo yanafurahisha
 
Na ndiyo maana pesa ya mwanamke anaona bora iwe ni yake peke yake maana kama mwenzie hamsaidii majukumu yake kwanini yeye amsaidie...
Watu wanataka waishi Kama walemavu,

Mwanaume na minguvu yake yote ila anataka kufanyiwa kila kitu utadhani hana mikono. Wanadhani wanawake wana engine mikononi,[emoji16]

Ila Kuna wanawake watafika mbinguni wakiwa wamechoka Sana.
 
Baada ya miaka mingi sana leo ndio nimetumia njia ya Chalinze-Dar. Leo ilikuwa poa ila zile njia sita.....RIP Magu! Zimenikumbusha motorways ughaibuni. Shida tu walipoweka 50kph limit.
Imekaa poa sana, ukishaianza pale mtoni, mizani ya zamani

Unaweka chuma kati, si kushoto ama kulia
unateleza uwezavyo hadi kimara round about

Pametulia
 
Yeah!

Wengi inawachanganya[emoji3], uliona ule mzani kabla mzani pale vigwaza, umeelewa sasa nilichokiandika siku chache zilizopita[emoji41][emoji848]
Nimeelewa ila ni ngumu kutekelezeka. Mfano pale Mikese ni balaa. Ila hii njia Kibaha-Morogoro inabidi iwe dual carriageway. Ina foleni kama Kilwa road😇😇
 
Back
Top Bottom