Mimi kufua... Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo vyombo kila mtu atajioshea nyumbani!?
Hii sifa moja ya uvivu wa kuosha vyombo ishanitoa kwenye uwife material...wacha niendelee kula maisha ya pekeyangu.
Uncle wakishua unafikaga mpaka Kilwa road 😎Nimeelewa ila ni ngumu kutekelezeka. Mfano pale Mikese ni balaa. Ila hii njia Kibaha-Morogoro inabidi iwe dual carriageway. Ina foleni kama Kilwa road😇😇
Mimi naweza kumfulia mtu hata kabati zima la nguo ila kuosha vyombo Sasa[emoji1751],vyangu tu naosha basi tu maana sina namna.Mimi kufua... Dah
[emoji848][emoji848] siku hizi nanihii kumekuwa mbagala???[emoji40]Duh siku zote hujui kuwa nakaa Mbagala?
Hapa wapi?Weekend imeishia vyemaView attachment 1935373View attachment 1935374
Somewhere mawimbini tuHapa wapi?
Ile trip uliyoiandaa na sisi imekufa?Mwaka unaisha huu mwambie Holy Man aandae road trip ya kufunga mwaka.
ilibidi tuwe na trip kuanzia Dar es Salaam, tunaenda Tanga, alafu Tanga to Arusha, Arusha to Dodoma , Dodoma to Mwanza alafu Mwanza to Morogoro 😀😀😀😀Mwaka unaisha huu mwambie Holy Man aandae road trip ya kufunga mwaka.
Wee nilikuwa sijui eti, so ni slipway Rd, Chake chake, chole au Lincoln Rd. 🤣🤣Duh siku zote hujui kuwa nakaa Mbagala?
Acha kuoshea vyombo sabuni za vipande 'jamaa sijui mshindi. Zinatia uvivu sana. .. Ili nimelishuhudia mwenyewe 😂Mimi naweza kumfulia mtu hata kabati zima la nguo ila kuosha vyombo Sasa[emoji1751],vyangu tu naosha basi tu maana sina namna.
Hayo ni maeneo ya kutafuta mkate wa kila siku. Hivi hujasikia Juma Nature sijui nani alituimba tunashinda Masaki kulala Mbagala?!!Wee nilikuwa sijui eti, so ni slipway Rd, Chake chake, chole au Lincoln Rd. 🤣🤣
Wasalimie na Kahama Rd pia.
HM utupeleke basi Mamboz au Salad for days Saint Anne anne
Hahah.
Atakuwa ni huyo huyo maana huko Mbagala najua mpaka geti lake. Ila wewe sasa 😂 haya weekend tukutane Dar liveHayo ni maeneo ya kutafuta mkate wa kila siku. Hivi hujasikia Juma Nature sijui nani alituimba tunashinda Masaki kulala Mbagala?!!
Nilishaacha kuoshea hizo,Acha kuoshea vyombo sabuni za vipande 'jamaa sijui mshindi. Zinatia uvivu sana. .. Ili nimelishuhudia mwenyewe [emoji23]
Bachede kasema tunazingua na macomments haya yasiyohusu tripping.
Anaishi ushuani huyoWee nilikuwa sijui eti, so ni slipway Rd, Chake chake, chole au Lincoln Rd. [emoji1787][emoji1787]
Wasalimie na Kahama Rd pia.
HM utupeleke basi Mamboz au Salad for days Saint Anne anne
Hahah.