Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mambo gani ya kunipiga picha wakati nimepumzika?Tuendelee na tripView attachment 1936606
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisameheMambo gani ya kunipiga picha wakati nimepumzika?
Oh!
Ipo hivi mizani now days ni vpn....
Sasa hapo kungekuwa na kilambasiNiliwahi kujiuliza hili swali siku moja nilikua naenda Tunduma afu tumefika Mzani ule karibu na kibaha dereva alipunguza tu mwendo speed kama 30 hivi halafu alipopita tu akaamsha...kumbe ndo alikua akipimwa loh
Badili profile ya rim.Wakuu naombeni ushauri,wakati wa kutaka kununua gari niliiona rumioni na kushawishiwa kuwa unafunga spacer inainuka juu,magari ya chini yapo mengi moja wapi crown na zinainuka na zinakwenda bila shida miaka nenda rudi...
Rim yangu ni size 15.Badili profile ya rim.
Mfano 205/45R16 weka 215/60R16 gari itainuka sana bila kuathiri suspension effectiveness.
Niliwahi kuwa na gari ilikuja na 225/50R16 ilikuwa chini sana nikaweka 215/60R16 kulikuwa na mabadiliko makubwa sana.
Mkuu hivi 18" haiwezi kukaa kwenye hiyo rumion?,ikiweza kukaa na akaweza kukata kona bila tire kukwangua mudguard Basi apachike 215/454R/18 hiyo rumion itakuwa km klugerKama unaweza weka 16" au 17"
18" sijui maanake 18" hata kwenye Crown inaonekana kubwa.Mkuu hivi 18" haiwezi kukaa kwenye hiyo rumion?,ikiweza kukaa na akaweza kukata kona bila tire kukwangua mudguard Basi apachike 215/454R/18 hiyo rumion itakuwa km kluger
Ungekuwa unakaa Mbagala ungeelewa 🤣Hapa sijaelewa kitu
Khaa hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ISO M.CodD usisafiri kimya, naomba lift[emoji23]
Naomba lift[emoji3]Khaa hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejitahidi hujakimbia kabisa [emoji38]Leo nimetembea mwendo relaxed sana.
Kutoka Dodoma mpaka Babati, kilomita 274, average 87km/h
Gari imetumia 11.7kmpl [emoji23][emoji23]
Hapa ndio madalali wanakuambia cc3500 inanusa tu mafuta umeme mwingi, sasa kanyaga uone