Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu naombeni ushauri,wakati wa kutaka kununua gari niliiona rumioni na kushawishiwa kuwa unafunga spacer inainuka juu,magari ya chini yapo mengi moja wapi crown na zinainuka na zinakwenda bila shida miaka nenda rudi.

Basi nikainunua ,ipo chini na mimi nilizoea gari za juu kidogo kwa njia zetu za mashimoni.
Nimefunga spacer huu mwezi wa tano shida ninayoiona ni nikiwa spidi chini ya 15 gari ina dunda dunda kama vile shock up zimelegea hivi.

Kichwani natafuta mwarobaini wa - kuondoa spacer lakini nifunge shock ndefu ili gari iinuke japo nchi moja .

Matairi makubwa yakukizi lakini isiwe sport rim kwani nina bebaga mizigo na ni mimi ni mtu wa mbio mbio.( naonaga gari moja nyekundu kwenye pantoon ila nimeshindwa kumwelewa ameifanyeje mpaka inaonekana kama klugger.
 
Wakuu naombeni ushauri,wakati wa kutaka kununua gari niliiona rumioni na kushawishiwa kuwa unafunga spacer inainuka juu,magari ya chini yapo mengi moja wapi crown na zinainuka na zinakwenda bila shida miaka nenda rudi...
Badili profile ya rim.

Mfano 205/45R16 weka 215/60R16 gari itainuka sana bila kuathiri suspension effectiveness.
Niliwahi kuwa na gari ilikuja na 225/50R16 ilikuwa chini sana nikaweka 215/60R16 kulikuwa na mabadiliko makubwa sana.
 
1631687345903.png
 
Back
Top Bottom