ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Afu unipe command safari nzima kwa lita moja ya mafuta sioNaomba lift[emoji3]
Nitachanga Lita 1 ya mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejishangaa piaUmejitahidi hujakimbia kabisa [emoji38]
Ulikuwa unaumwa au?Leo nimetembea mwendo relaxed sana.
Kutoka Dodoma mpaka Babati, kilomita 274, average 87km/h
Gari imetumia 11.7kmpl [emoji23][emoji23]
Hapa ndio madalali wanakuambia cc3500 inanusa tu mafuta umeme mwingi, sasa kanyaga uone
Sielewi. Nadhani nimezeeka ghafla. Sijafika 150 safari nzimaUlikuwa unaumwa au?
Ndiyo Ndiyo[emoji16]Afu unipe command safari nzima kwa lita moja ya mafuta sio
Ni maajabu haya!Nimejishangaa pia
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulikuwa unaumwa au?
Mungu ni mwema .....poleniView attachment 1939476
Mungu ni mwema Tumetoka salama
Poleni mkuu
Mungu ni mwema .....poleni
Yupo mmoja ameandika IST yake "king of the road" halafu akaongezea "ready to race"Eti 'Racing Subie ' vijana bana [emoji23] View attachment 1927023
DuhView attachment 1939476
Mungu ni mwema Tumetoka salama
Hawa wanatuletea mkwara tu [emoji16][emoji16][emoji16]Hujui kUna nini ndani ya bonnet [emoji23][emoji23]
Umeanza lini kula muwa?Sogea hapa city pub,ni nyuma ya century plaza,nipo napiga kvant hapa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mzee baba kimeo hiko aisee😅😅😅
Wife akiona hio umeisha😅wenye majina ya Aisha huwa ni shidaaa sema hiyo namba imefutika futika hapo 😊😊😊😊 gari kama imepaki kwenye kiwanja flani hivi.. sema hapo ni msala gari ikienda home 😅😅