Endeleeni kujifunza, kama mama yako alikuwa successful in marriage ndio mfano halisi wa namna unatakiwa uishi! Uzuri ndoa ni mkataba ulio wazi kabisa, shida wengi mnataka harusi na sio ku deal na majukumu ya ndoa sikuhizi!
Hamna maana ya kuoa ikiwa terms and conditions mwanamke haziwezi! Usije compel mtu kukuoa kama hutaweza kuishi kama mke please. Being a wife involves taking orders from your man,kama hauwezi kausha wenye kuweza wataolewa.
We donโt want these 6 months marriage divorces no more.