Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Basi ili upate burudani tafta mwanaume kama baba yako tu. Well its easy to be that kind of man kama unapata mwanamke anayejua mapenzi haswa na muaminifu kwako.
Wanaume aina ya baba wapo.

Hadi Sasa gap lake linaonekana..usafi wote nje ya nyumba lilikuwa jukumu lake.
Hadi Sasa hakuna anayefanya kama yeye.

Fikiria naye angejiweka kama mlemavu..ingekuwaje.
 
Wanaume aina ya baba wapo.

Hadi Sasa gap lake linaonekana..usafi wote nje ya nyumba lilikuwa jukumu lake.
Hadi Sasa hakuna anayefanya kama yeye.

Fikiria naye angejiweka kama mlemavu..ingekuwaje.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!

Maswala ya kufyeka tulifyekaga wayback sahizi hizo kazi ni za Shambaboy sio washua!
 
Wanaume aina ya baba wapo.

Hadi Sasa gap lake linaonekana..usafi wote nje ya nyumba lilikuwa jukumu lake.
Hadi Sasa hakuna anayefanya kama yeye.

Fikiria naye angejiweka kama mlemavu..ingekuwaje.
this is very true wanaume wanataka wanawake kama wamama wa zamani
lakini hawawezi kuwa kama wababa wa zamani

kila nikikumbuka majukumu aliyokuwa anatimiza mzee sioni kama kizazi hichi wanaweza to be honest
 
Endeleeni kujifunza, kama mama yako alikuwa successful in marriage ndio mfano halisi wa namna unatakiwa uishi! Uzuri ndoa ni mkataba ulio wazi kabisa, shida wengi mnataka harusi na sio ku deal na majukumu ya ndoa sikuhizi!

Hamna maana ya kuoa ikiwa terms and conditions mwanamke haziwezi! Usije compel mtu kukuoa kama hutaweza kuishi kama mke please. Being a wife involves taking orders from your man,kama hauwezi kausha wenye kuweza wataolewa.

We donโ€™t want these 6 months marriage divorces no more.
Sasa watu kama sisi ambao tushajijua hatutawezana hivyo tumejiweka pembeni si ndiyo mnatubeza mara oo tukutane at fortys sijui utakuwa mpweke na blah blah zingine
 
Wazazi wangu waliishi kwa kusaidiana.
Baba Yangu kuna alikuwa anapika akijisikia au mama akiwa hayupo vizuri.
Africa mume amsaidie mke kazi za ndani thubutuuu hiyo ni dhambi na laana kubwa sana lakini mke kumsaidia mume kulipia bills na mahitaji ya watoto aahh fresh tu tena huyo ndiyo aonekana wife material aliyekamilika
 
Basi ili upate burudani tafta mwanaume kama baba yako tu. Well its easy to be that kind of man kama unapata mwanamke anayejua mapenzi haswa na muaminifu kwako.
Wewe extrovert ulishasema katu hauwezi msaidia mke wako hizo kazi hata awe mwema kiasi gani and yet unataka yeye awe anakupiga tafu unapokwama
 
Back
Top Bottom