Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Aah! mie sikomoi mtu hata 😀😀😳Wapelekee moto,peleka motoooo.
Humkomoi yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah! mie sikomoi mtu hata 😀😀😳Wapelekee moto,peleka motoooo.
Humkomoi yeyote.
Waache naona either hawajui au wanajitoa ufahamu wanadhani bado tuko kwenye kile kizazi cha mababuWapelekee moto,peleka motoooo.
Humkomoi yeyote.
Extrovert umwinyi wa mwanaume unajidhihirisha kwenye kutimiza majukumu yake tu siyo blah blah wewe timiza majukumu yako kikamilifu bila kutaka mkeo akusaidie kama ambavyo wewe hutaki kumsaidia majukumu yake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!
Maswala ya kufyeka tulifyekaga wayback sahizi hizo kazi ni za Shambaboy sio washua!
Zinapita zinaenda Rwanda. Kwa wanao jua gari labda ila wengine wataona kama V8 tu😅😅😅😅😅😅 hio mashine nasubiria kuona wa kwanza kuiingiza maana ata trend jiji zima😅
aah-! mwanaume anabaki kuwa mwanaume, sie ndio tulianza ingia duniani mkuu hamtokuja kutupanda kichwaniWaache naona either hawajui au wanajitoa ufahamu wanadhani bado tuko kwenye kile kizazi cha mababu
Ukipachika hiyo /55 inakaa ila shida inakuja kwenye kukata corner kali,tairi itagusa mudguard18” Inakaa vizuri tu wala haina shida sema profile lazma iwe stroke 45! Ukitaka nene kama stroke 55 au zaidi basi unatia 17”s inapandisha body vyema tu
Mwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?Wewe extrovert ulishasema katu hauwezi msaidia mke wako hizo kazi hata awe mwema kiasi gani and yet unataka yeye awe anakupiga tafu unapokwama
Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?😅😅😅😅😅😅 parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!
Maswala ya kufyeka tulifyekaga wayback sahizi hizo kazi ni za Shambaboy sio washua!
Hehe hata ninyi hamtuumizi vichwa tena kitu ambacho huwa mnaona fahariHamtuumizi vichwa kabisaa, tuna wanywa kama maji
Kama na nyie hamuumii vichwa basi jambo la kheri acha tuendelea kuwala 😊😊Hehe hata ninyi hamtuumizi vichwa tena kitu ambacho huwa mnaona fahari
Kuwala au kukulana? Sisi wenyewe tunawala fresh tu.Kama na nyie hamuumii vichwa basi jambo la kheri acha tuendelea kuwala 😊😊
sie tuna wala na kuwatoboa 😊😊😊Kuwala au kukulana? Sisi wenyewe tunawala fresh tu.
Hizo kauli zenu tumeshazizoea bwashee we jisemee wewe tu ndugu yangu kuna wenzio huku wanajiita vidume vya mbegu ila wanalizwa na mapenzi kila sikuaah-! mwanaume anabaki kuwa mwanaume, sie ndio tulianza ingia duniani mkuu hamtokuja kutupanda kichwani
Hahahahah tunagawana rizikiMwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?
Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?
Omelette mbona easy tu! Ila lazma uwe na tabia zinazostahili kukaangiwa omelette sio unakuwa mtu wa hovyo kisha unataka uzungu! Uzungu should start from within.Mwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?
Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?
Ukishakuwa mtu timamu maumivu huwa yapo, haijalishi ni nani. Ila hamuwezi kutupanda vichwani tutaendelea kuwaburuza tu ilo lipo waziHizo kauli zenu tumeshazizoea bwashee we jisemee wewe tu ndugu yangu kuna wenzio huku wanajiita vidume vya mbegu ila wanalizwa na mapenzi kila siku
Wakija huku mitandaoni wanajitutumua kujifanya oo mimi mwanamke hawezi kunipelekesha sijui blah blah wakati sote tunajua mambo kwa ground huwa ni tofauti
Na wao hawataki kuwapanda vichwani bali wanataka kujitoa kwenye ile stage ya kuwa victims wenu kwenye mapenzi kitu ambacho wamefanikiwa kwa asilimia kubwa siyo kama zamani
Kutakuwa na shida kwenye wheel balance ama suspension parts.Ukipachika hiyo /55 inakaa ila shida inakuja kwenye kukata corner kali,tairi itagusa mudguard
Si ndio hapo sasaMwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?
Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?
Ofcourse ndio mwendo huo sasa hivi! Ni unalipiwa bills zako ila unachapa kaziExtrovert umwinyi wa mwanaume unajidhihirisha kwenye kutimiza majukumu yake tu siyo blah blah wewe timiza majukumu yako kikamilifu bila kutaka mkeo akusaidie kama ambavyo wewe hutaki kumsaidia majukumu yake
.....