Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hizo kauli zenu tumeshazizoea bwashee we jisemee wewe tu ndugu yangu kuna wenzio huku wanajiita vidume vya mbegu ila wanalizwa na mapenzi kila siku

Wakija huku mitandaoni wanajitutumua kujifanya oo mimi mwanamke hawezi kunipelekesha sijui blah blah wakati sote tunajua mambo kwa ground huwa ni tofauti

Na wanawake hawataki kuwapanda vichwani bali wanataka kujitoa kwenye ile stage ya kuwa victims wenu kwenye mapenzi kitu ambacho wamefanikiwa kwa asilimia kubwa siyo kama zamani
Nimecheka na ili. Extrovert akiwa nyuma ya keyboard mwamba. Akirudi kwa my wake anasugua mpaka sufuria..😂
 
Hahaaa umekuja nilipopataka

Ninyi ndiyo mnaona mwanamke kuolewa ni deal kubwa ndiyo maana mmekazana eti "tuwapelekee moto halafu tuwaache" si maana yake mnataka ndoa iwe deal kubwa sana kwenye kizazi hiki ambacho wanawake wanataka pesa tu

Na ndiyo maana nikakuambia siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia wanawake tena they dont care anymore they have nothing to lose na maneno ya jamii wameshayazoea maana jamii yenyewe ndiyo nyie nyie wanaume hakuna viumbe wengine
hatutaki ndoa ndio maana tunawazalisha na kuwaacha , ingekuwa tunataka ndoa tusinge endelea kuwatotolesha na kuwaacha tunge stick na mmoja ila hatuna mda huo
 
Na wakae wajue tushajipanga in case hiyo ndoa isipopita njia tunayopita. 😂

Mambo ya zamani hayo eti kuolewa ni kustirika.
 
hatuoi vibudu sie. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tunasubiri namba E na zikikorofisha tunapiga chini hatupendi ujinga sie
Bana wewe unatudanganya nini mbona kila weekend ndoa zinafungwa na wanaoolewa siyo mabikira

Ndiyo mjue kuwa hata hao wanawake nao ni binadamu vile vile na ni sehemu ya maisha yenu

Oaneni tu maisha ndiyo haya haya mchezo mfanye wawili lawama atupiwe mmoja inaingia akilini kweli
 
Kuoa au kuolewa kwenu hakuwafanyie nyie kuwa bora zaidi ya wanaume au kuwa mna nguvu kuliko Man. Sie tunaendelea kubaki juu yenu
 
Nimecheka na ili. Extrovert akiwa nyuma ya keyboard mwamba. Akirudi kwa my wake anasugua mpaka sufuria..[emoji23]
Shangaa na wewe yaani kujifanya ubabe wakati wakiwa huko majumbani hawana neno

Kuna mwenzao mmoja juzi juzi hapa alileta uzi kwa id nyingine kuwa mke wake kaondoka na anampenda sana hawezi kuishi bila yeye na hajui afanyeje ili arudi maana kama ni misamaha alishaomba ya kutosha ila hola

Sababu ya kutumia id nyingine alisema eti kwenye ile id yake inayojulikana huwa anajifanya yeye ni mbabe na mwanamke hawezi kumpelekesha lakini kumbe mke wake ndiyo kila kitu kwake kwahiyo sometimes tusiwalaumu sana kaka zetu
 
Hao vijana bado, tupo ma senior major hapa lazima mkae chini, hata kama kosa nimefanya mie lazima uje kwa adabu tena huku umepiga magoti,
 
hatutaki ndoa ndio maana tunawazalisha na kuwaacha , ingekuwa tunataka ndoa tusinge endelea kuwatotolesha na kuwaacha tunge stick na mmoja ila hatuna mda huo
Sasa si ndiyo nakuambia kuwa na wanawake wengi wa siku hizi nao hawataki ndoa ndiyo maana wengine anatembea na mume wa mtu na anajibebesha mimba makusudi kabisa ili mwisho wa siku asiolewe alee mtoto peke yake

Yaani siku hizi siyo tu ninyi ndiyo mnaamua kuwazalisha wanawake bali hata wao wenyewe wanajibebesha mimba makusudi ili wawe single mothers walee watoto kivyao bila usumbufu maana hawataki tena stress za ndoa

Yaani hapa point yangu ni kwamba ninyi mnataka wanawake waendelee kupapatikia ndoa na kuiona ni dili sana ili waendelee kuwanyenyekea muwaoe kitu ambacho ni tofauti kwenye dunia ya sasa maana meza zishapinduliwa

Wanawake nao hawataki ndoa hivyo pelekeaneni moto tu halafu kila mtu ashike hamsini zake hakuna kung'ang'aniana na ukiona mwanamke anakug'ang'ania ujue ana njaa tu na anaona hawezi ishi bila kumtegemea mwanaume

Kwahiyo ninyi mkipeleka moto au kuzalisha na kuacha msifikiri mnawakomoa wanawake tena ndiyo mnakuwa mmewasaidia maana hamuwapi stress za ndoa umemzalisha na matumizi ya mtoto utatakiwa utoe ilihali haujamuoa
 
Wanawake wenye hofu ya Mungu kama mimi hapa wanaelewa maana ya ndoa. Ndoa haililiwi wala haitafutwi, ndoa ni baraka na kama ni Baraka Mungu hufungua mrango wa ndoa kwa watu wake, ndoa sio ya kila kitu ni kama vile ilivyo peponi sio ya kila mtu . Ndoa ni baraka na kuna vitu kwenye maisha havisogei hadi uwe kwenye ndoa
 
Na wakae wajue tushajipanga in case hiyo ndoa isipopita njia tunayopita. [emoji23]

Mambo ya zamani hayo eti kuolewa ni kustirika.
Si ndiyo hapo sasa yaani ndoa wafunge wawili halafu ihesabike eti mmoja ndiyo anasitirika

Hawaamini wanachokiona ndiyo maana wanabaki kujifariji na maneno ya kawaida kama tunawapelekea moto sijui tunawakojolea wakati hakuna mtu anayezaliwa bila wazazi wake kukojoleana

Na wanawake wa siku hizi wanavyopenda kukojolewa ndiyo kwanza wanajipeleka wenyewe wakakojolewe sasa mwanamke kama huyu unafikiri ukimuambia maneno kama hayo unamkomoa au eti ataumia
 
Back
Top Bottom