Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa kama mnalijua hilo mbona mnajitutumua kuwa hamuoi mnapeleka moto na kuzalisha

By the way siyo ndoa zote ni baraka na siyo ndoa zote zimeidhinishwa na muumba

Haujawahi sikia kuna mtu kaingia kwenye ndoa matatizo ndiyo yakaanza na hakuna anachofanya kikaonekana
Nimeisha elezea hili unalo elezea .. upo sahihi ila ndoa ni baraka kama ukikutana na ulie kusudiwa tatizo ukikutana na mpigaji
 
Hiyo mitazamo ni jamii zetu tu za kiafrica ndiyo imeitengeneza wala haiko hivyo duniani kote
CDD41186-E79E-45EF-92A4-DAFE04FACEE3.jpeg
 
this is very true wanaume wanataka wanawake kama wamama wa zamani
lakini hawawezi kuwa kama wababa wa zamani

kila nikikumbuka majukumu aliyokuwa anatimiza mzee sioni kama kizazi hichi wanaweza to be honest
Yaani mimi nimekula chakula Cha baba mara nyingi TU.

Na nilikuwa mikiugua naenda hospital na baba..hii alikuwa anafanya willingly,hata siku nikienda mwenyewe hospital mzee ananifuata.

Usafi wa nje alichukua jukumu kufanya na hata kazi nyingine nyingi TU alikuwa akifanya na ndoa ilidumu.

Wanaume wa siku hizi wanajitoa ufahamu..
Mimi mwanaume anaye act kama mlemavu simtaki.
 
Africa mume amsaidie mke kazi za ndani thubutuuu hiyo ni dhambi na laana kubwa sana lakini mke kumsaidia mume kulipia bills na mahitaji ya watoto aahh fresh tu tena huyo ndiyo aonekana wife material aliyekamilika

Back
Top Bottom