Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nimeisha elezea hili unalo elezea .. upo sahihi ila ndoa ni baraka kama ukikutana na ulie kusudiwa tatizo ukikutana na mpigajiSasa kama mnalijua hilo mbona mnajitutumua kuwa hamuoi mnapeleka moto na kuzalisha
By the way siyo ndoa zote ni baraka na siyo ndoa zote zimeidhinishwa na muumba
Haujawahi sikia kuna mtu kaingia kwenye ndoa matatizo ndiyo yakaanza na hakuna anachofanya kikaonekana