Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
hatuoi vibudu sie. ๐๐๐๐ tunasubiri namba E na zikikorofisha tunapiga chini hatupendi ujinga sieHehe hapo point ni mnawaoa hayo ya kutokuwa na maana wao wala hayawahusu
Nimecheka na ili. Extrovert akiwa nyuma ya keyboard mwamba. Akirudi kwa my wake anasugua mpaka sufuria..๐Hizo kauli zenu tumeshazizoea bwashee we jisemee wewe tu ndugu yangu kuna wenzio huku wanajiita vidume vya mbegu ila wanalizwa na mapenzi kila siku
Wakija huku mitandaoni wanajitutumua kujifanya oo mimi mwanamke hawezi kunipelekesha sijui blah blah wakati sote tunajua mambo kwa ground huwa ni tofauti
Na wanawake hawataki kuwapanda vichwani bali wanataka kujitoa kwenye ile stage ya kuwa victims wenu kwenye mapenzi kitu ambacho wamefanikiwa kwa asilimia kubwa siyo kama zamani
sikwasabu ni ana njaaa kaamua kuwa falaaa..Lakini at some point anakuwa ashakubali kuwa chini ya mwanamke teh
hatutaki ndoa ndio maana tunawazalisha na kuwaacha , ingekuwa tunataka ndoa tusinge endelea kuwatotolesha na kuwaacha tunge stick na mmoja ila hatuna mda huoHahaaa umekuja nilipopataka
Ninyi ndiyo mnaona mwanamke kuolewa ni deal kubwa ndiyo maana mmekazana eti "tuwapelekee moto halafu tuwaache" si maana yake mnataka ndoa iwe deal kubwa sana kwenye kizazi hiki ambacho wanawake wanataka pesa tu
Na ndiyo maana nikakuambia siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia wanawake tena they dont care anymore they have nothing to lose na maneno ya jamii wameshayazoea maana jamii yenyewe ndiyo nyie nyie wanaume hakuna viumbe wengine
Sina cha kujifariji .. huo ndio ukweliUnajifariji sana. Keep on'
Na wakae wajue tushajipanga in case hiyo ndoa isipopita njia tunayopita. ๐Hahaaa umekuja nilipopataka
Ninyi ndiyo mnaona mwanamke kuolewa ni deal kubwa ndiyo maana mmekazana eti "tuwapelekee moto halafu tuwaache" si maana yake mnataka ndoa iwe deal kubwa sana kwenye kizazi hiki ambacho wanawake wanataka pesa tu
Na ndiyo maana nikakuambia siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia wanawake tena they dont care anymore they have nothing to lose na maneno ya jamii wameshayazoea maana jamii yenyewe ndiyo nyie nyie wanaume hakuna viumbe wengine
Unaongea kwa uchungu. BTw pole, si ni life tu ๐. ..hatutaki ndoa ndio maana tunawazalisha na kuwaacha , ingekuwa tunataka ndoa tusinge endelea kuwatotolesha na kuwaacha tunge stick na mmoja ila hatuna mda huo
anae chakaa ni mwanamke, lini mwanaune anachakaaa sie tupiga tu dudu kadri siku zinaenda tunazidi ku shineHizo ndiyo nzuri maana wachakavu mnakuwa mmekutana
Bana wewe unatudanganya nini mbona kila weekend ndoa zinafungwa na wanaoolewa siyo mabikirahatuoi vibudu sie. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tunasubiri namba E na zikikorofisha tunapiga chini hatupendi ujinga sie
Mie na uchungu wapi na wapi ... ๐๐๐Unaongea kwa uchungu. BTw pole, si ni life tu ๐. ..
Kuoa au kuolewa kwenu hakuwafanyie nyie kuwa bora zaidi ya wanaume au kuwa mna nguvu kuliko Man. Sie tunaendelea kubaki juu yenuBana wewe unatudanganya nini mbona kila weekend ndoa zinafungwa na wanaoolewa siyo mabikira
Ndiyo mjue kuwa hata hao wanawake nao ni binadamu vile vile na ni sehemu ya maisha yenu
Oaneni tu maisha ndiyo haya haya mchezo mfanye wawili lawama atupiwe mmoja inaingia akilini kweli
naona mnajitutumua eeh ๐๐Na wakae wajue tushajipanga in case hiyo ndoa isipopita njia tunayopita. ๐
Mambo ya zamani hayo eti kuolewa ni kustirika.
Shangaa na wewe yaani kujifanya ubabe wakati wakiwa huko majumbani hawana nenoNimecheka na ili. Extrovert akiwa nyuma ya keyboard mwamba. Akirudi kwa my wake anasugua mpaka sufuria..[emoji23]
Ndiyo hivyo sasasikwasabu ni ana njaaa kaamua kuwa falaaa..
Pia sio mbaya maisha kusaidiana, Mwanamke akiwa nacho ni vyema na mume asipokuwa nacho wanasaidiana. Mbili ni bora kuliko moja kibaya ndani ya nyumba ni kushindani nguvuNdiyo hivyo sasa
Hao vijana bado, tupo ma senior major hapa lazima mkae chini, hata kama kosa nimefanya mie lazima uje kwa adabu tena huku umepiga magoti,Shangaa na wewe yaani kujifanya ubabe wakati wakiwa huko majumbani hawana neno
Kuna mwenzao mmoja juzi juzi hapa alileta uzi kwa id nyingine kuwa mke wake kaondoka na anampenda sana hawezi kuishi bila yeye na hajui afanyeje ili arudi maana kama ni misamaha alishaomba ya kutosha ila hola
Sababu ya kutumia id nyingine alisema eti kwenye ile id yake inayojulikana huwa anajifanya yeye ni mbabe na mwanamke hawezi kumpelekesha lakini kumbe mke wake ndiyo kila kitu kwake kwahiyo sometimes tusiwalaumu sana kaka zetu
Sasa si ndiyo nakuambia kuwa na wanawake wengi wa siku hizi nao hawataki ndoa ndiyo maana wengine anatembea na mume wa mtu na anajibebesha mimba makusudi kabisa ili mwisho wa siku asiolewe alee mtoto peke yakehatutaki ndoa ndio maana tunawazalisha na kuwaacha , ingekuwa tunataka ndoa tusinge endelea kuwatotolesha na kuwaacha tunge stick na mmoja ila hatuna mda huo
Wanawake wenye hofu ya Mungu kama mimi hapa wanaelewa maana ya ndoa. Ndoa haililiwi wala haitafutwi, ndoa ni baraka na kama ni Baraka Mungu hufungua mrango wa ndoa kwa watu wake, ndoa sio ya kila kitu ni kama vile ilivyo peponi sio ya kila mtu . Ndoa ni baraka na kuna vitu kwenye maisha havisogei hadi uwe kwenye ndoaSasa si ndiyo nakuambia kuwa na wanawake wengi wa siku hizi nao hawataki ndoa ndiyo maana wengine anatembea na mume wa mtu na anajibebesha mimba makusudi kabisa ili mwisho wa siku asiolewe alee mtoto peke yake
Yaani siku hizi siyo tu ninyi ndiyo mnaamua kuwazalisha wanawake bali hata wao wenyewe wanajibebesha mimba makusudi ili wawe single mothers walee watoto kivyao bila usumbufu maana hawataki tena stress za ndoa
Yaani hapa point yangu ni kwamba ninyi mnataka wanawake waendelee kupapatikia ndoa na kuiona ni dili sana ili waendelee kuwanyenyekea muwaoe kitu ambacho ni tofauti kwenye dunia ya sasa maana meza zishapinduliwa
Wanawake nao hawataki ndoa hivyo pelekeaneni moto tu halafu kila mtu ashike hamsini zake hakuna kung'ang'aniana na ukiona mwanamke anakug'ang'ania ujue ana njaa tu na anaona hawezi ishi bila kumtegemea mwanaume
Kwahiyo ninyi mkipeleka moto au kuzalisha na kuacha msifikiri mnawakomoa wanawake tena ndiyo mnakuwa mmewasaidia maana hamuwapi stress za ndoa umemzalisha na matumizi ya mtoto utatakiwa utoe ilihali haujamuoa
Si ndiyo hapo sasa yaani ndoa wafunge wawili halafu ihesabike eti mmoja ndiyo anasitirikaNa wakae wajue tushajipanga in case hiyo ndoa isipopita njia tunayopita. [emoji23]
Mambo ya zamani hayo eti kuolewa ni kustirika.