Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Holy Man kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume wote wanampenda Mungu na wanaenenda katika maagizo yake
 
Oohh and that brings me to the question kwamba kwahiyo kumbe mnapochepuka huwa mnafanya makusudi tu siyo
Hapo ndio mnakosea kuelekeza kosa pande mmoja. Swala la usariti haliangalii jinsia, kila jinsi inaweza ingia kwenye shida ya usariti. Ukisema leo wanaume wanachepuka unakosea na ukisema wanawake wanachepuka unakosea pia. Ila Watu wamekua hawana ndiahamu katika mahusiano na ndio matokeo ya hayo yote. Naposema nidhamu ni neno pana sana. Kama nidhamu ipo huwezi kutana na kesi za usariti sio kwa Me au kwa KE
 
Ni wangapi sasa ambao wanakutana na hao waliokusudiwa ujue hapa usijiongelee wewe tu tuongelee hali halisi iliyopo kwa jamii
Tunarudi author wa ndoa ni Mungu. Maisha ya mwanadamu yamejawa sana na machaguzi ambayo ni huru. Ukiona kuna kibaya kuna kizuri na kizuri kiliamua kuchaguzi jambo zuri na kibaya kiliamua kuchagua jambo baya. Kabla ya kuamua mtu XX kuwa mwenza wako ni vizuri kuwe na mda wa kutosha kuanzia ngazi za kifamilia na kiroho kuwafanyia vetting, sio siku hizi mwezi au miezi sita tayari mnaanza kucheza mechi na kila fujo, inaweza ikatokea ikawa nzuri ila matokea kuwa mabaya ni asilimia kubwa zaidi
 
Yaani hii mifano michache ndiyo mnaitumia utadhani ni wanawake wote wameanza kutembea na mabango barabarani ya kutafuta ndoa

Baadhi ya wanawake kutafuta ndoa kwenye mabango haibadilishi ukweli kuwa kuna wanawake wengi tu siku hizi hawataki kabisa kusikia habari za ndoa

Wanaotaka ndoa bado wapo waume kwa wake na hawatakaa waishe lakini pia na idadi ya wasiotaka ndoa waume kwa wake nayo inazidi kuongezeka siku hadi siku
 
Maisha ni kuchagua 😊😊
 
Hivi kwani ndoa ni ufalme wa Mbinguni hadi watutishie kiasi hicho??

Uzuri unatishiwa hapa lakini Kuna mtu anakuelewa vibaya..kwahiyo wasitutishe.
Si ndiyo maana nimewaambia haya maneno huwa wanaishia kuandika tu mitandaoni kwa sababu hatujuani lakini tukija huku mitaani kila weekend kuna harusi na wanaoolewa ni hao hao single mothers na makahaba wastaafu hakuna mabikira

Watu wanadhani eti mtu ukishaoa au ukishaolewa basi tayari moja kwa moja una ticket ya kwenda mbinguni bila kujua kuwa hiyo ndoa at some point in life inaweza kukufanya ukatenda dhambi moja matata sana ukawa shosti wa shetani

Kwanza hizo ndoa zenyewe siku hizi nyingi zimejaa uzinzi na uasherati tu mtu kaoa au kaolewa lakini anachepuka kama kawa tena kwa ufahari kabisa mtu anasema mimi sitosheki na mwanamke mmoja eti nature wakati ni kinyume na maandiko
 
True
 
Watu hubadilika lakini
 
Na asipo badirika ? mtu anae badirika badirika hafai hata kwenye mamabo ya kawaida
Kuna mifano mingi tu tunayo watu kwenye uchumba wanapendana kweli hadi mtu unawaonea wivu unasema hawa watakuja kudumu kwenye ndoa yao wanafunga ndoa mara ghafla baada ya miaka miwili ndoani vitimbi vinaanza hadi unajiuliza ni hawa kweli au ni wengine walibadilshwa
 
Honestly, I have been going through your posts especially on relationships and marriage.

The truth is, 'you have developed a negative attitude and hence a distortion of your view on the issues'.

You see nothing positive on marriage. All you think is about disappointments.

If that had happened to either friends, family member or you, then don't take everything about on such a negative perspective way.

Count the good, compliment the best on marriage and hope it will be good for others.

Yaani, unachowaza ni usaliti na uasherati kwenye ndoa kama vile hivyo hutokea kwa familia zote. Kuna familia zina furaha, hawasalitiani, wanashirikiana na zaidi wanamjua Mungu.

Stop being a harsh feminist. A man is a man. You will never change the fact that you were born a woman. Hata ufanyaje, u will never be as stiff as men.

Badilika Mkuu.
 
Deeh..

Ndio ivyo, ukirudi kwenye Genesisi ya mwanadamu kila kitu kipo wazi, na ile ndio foundation ya maisha ya mwandamu ila ishakuwa compromised. Imefika kipindi tunaangalia maumbile zaidi katika kutenganisha mambo ila haiko ivyo, mwanaume na mwanamke ni kitu kimoja hakuna alie juu ya mwenzake na hakuna alie chini ya mwenzake, isipokuwa alie source huwa tunaita mwanaume so hata mwanamke pia anaweza kuwa source . ila kimaumbile ni katika umoja wetu wa kutekeleza task flani flani.. ila kimajukumu na kimuundo source ambayo tunaita mwanaume anauwa kichwa kwa kile alichotoa katika chanzo chake na kichwa kivipi ? sio ku contorl mambo
 
Mwananadu ana emotion, na emotion huja na kuondoka, kipidni hisi zipo juu unaweza ona haya ndio maisha na huyu ndio mtu, ila zikikata baraa limeingia, mjifunze kutofautisha hisia na upendo vitu viwili tofauti ila wengi wana nasa kwenye emeotiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…