Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Holy Man kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume wote wanampenda Mungu na wanaenenda katika maagizo yakeUmechoma chanjo ? ukifanya maisha ya kimahusiano based na dunia ni tatizo. Author wa ndoa na mtu ni Mungu jifunze kutokea huko.. Mwanamke lazima awe mneyenyekevu kwa mume kama Sarah alivyo kwa bwana wake Ibrahim ila shida watoto wa siku hizi hamumpendi Mungu na neno lake