Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu anajua kesho yetu ..Yaliyo mema na ya sirini hakuna aijuae kesho yake
Napanda mdogo mdogo
Nipe kituo cha kupokelea
Jenga kwanza siku moja moja utakuwa unapanda na kuendesha nyumba yakoNatamani nihadithie kashkash za kwenye mwendokasi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah,nikijichanga hela,kitu cha kwanza kununua ni gari hata ka passo tu.View attachment 1942461
Hizi gari kubwakubwa natamani nipande siku Moja.Scania 420
@holyman na ExtrovertHizi gari kubwakubwa natamani nipande siku Moja.
Zimekaa kibabe na kilegendary sana .
Nina wazo la kujenga kijijini kwetu.Jenga kwanza siku moja moja utakuwa unapanda na kuendesha nyumba yako
R 6*2 axle configuration,hio ni tractor ya kazi haswa. Ni Auto o manualScania 420
Wale wazee wa Audi
Baadae wakuu wacha niamshe chuma kinaomba mzigo..
Ttzo zinanesanesa sana kwa hiyo kwa wewe uliezoea sedan utakosa amaniHizi gari kubwakubwa natamani nipande siku Moja.
Zimekaa kibabe na kilegendary sana
Kwenye truck hakunaga autoR 6*2 axle configuration,hio ni tractor ya kazi haswa. Ni Auto o manual
Na zilivyo juu Sasa[emoji16]Ttzo zinanesanesa sana kwa hiyo kwa wewe uliezoea sedan utakosa amani
opt cruise niliiweka ile auto ili ieleweke na wengi,mwaga moto mwamba na iwe safari njema kwakoKwenye truck hakunaga auto
Tamka ant cruise
Hii ni 12 mzee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jenga kwanza siku moja moja utakuwa unapanda na kuendesha nyumba yako
Hehe kaombe lift hata kwenye zile Iveco za jeshi zile ndio zimekaa kibabe zaidiHizi gari kubwakubwa natamani nipande siku Moja.
Zimekaa kibabe na kilegendary sana .
Makazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.Nina wazo la kujenga kijijini kwetu.
Hapa mjini nitaweza kweli?[emoji848]na tumia mia hutu twa kuokoteza.
Asante kwa wazo zuri..
Miaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishaniMakazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.
Ila nunua gari kwanza aisee, public land transport kwa nchi yetu bado ni changamoto na ni usafiri unaodharaulika.
Tusiende mbali hapo dizonga tu kuna miji kupanda taxi (kule daladala zao wanaita taxi) ni kwa foleni na ni level seats, yaani hakuna kupigana vikumbo milangoni wala kuingilia madirishani na abiria hawasimami.
Nimejaribu kuwaza hapa bongo wangeleta hiyo system na kwenye madaladala tungeweza kweli, bongo tunatumia theory ya survival for the fittest kwenye kila kitu yaani mwenye nguvu ndiye anayepata.
Mwendokasi kupanda ni kwa foleni.Makazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.
Ila nunua gari kwanza aisee, public land transport kwa nchi yetu bado ni changamoto na ni usafiri unaodharaulika.
Tusiende mbali hapo dizonga tu kuna miji kupanda taxi (kule daladala zao wanaita taxi) ni kwa foleni na ni level seats, yaani hakuna kupigana vikumbo milangoni wala kuingilia madirishani na abiria hawasimami.
Nimejaribu kuwaza hapa bongo wangeleta hiyo system na kwenye madaladala tungeweza kweli, bongo tunatumia theory ya survival for the fittest kwenye kila kitu yaani mwenye nguvu ndiye anayepata.
Wewe unaongelea miaka ile[emoji1][emoji38]Miaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishani
Ila ni vyema ajenge nyumba ili siku akikwama aiendeshe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]