wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Haha wakuletee upite na masega ya watu? Sio vizuri bana
Hahahah ndio kusaidiana mjini huko boss wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha wakuletee upite na masega ya watu? Sio vizuri bana
Maombi yaendelee
Ningekuwa maeneo hayo ningechukua zigo hilo, sema sasa sijui zima au ndio lipo connected na 750kvMzee baba hii post nimeikuta mpaka kwenye forum ya wanajeria "Naira Forum" Wana discuss.
We ni chizi 🤣🤣🤣🤣Ningekuwa maeneo hayo ningechukua zigo hilo, sema sasa sijui zima au ndio lipo connected na 750kv
chizi maarifa eeh! niambie katoto rito 😋😋We ni chizi 🤣🤣🤣🤣
Naona apakiwe mkuu twende nae Rwanda 😀😀😀😀😀
Na uzee huu naanzia wapi kuwa katoto riii? 😂chizi maarifa eeh! niambie katoto rito 😋😋
😊😊😊😊 Uzee mwisho kwa wajuukuu zako, ukitoka hapo tukikutana unakuwa katoto mritooo 😋😋😋Na uzee huu naanzia wapi kuwa katoto riii? 😂
Chombo ishasogea hapo siiii? Niibuke chap 🤣
Mna tabia mbaya 🤣🤣Mimi mwenyewe nishawahi fanya hivyo siku hiyo kwenye kugombea siti si nikavamia za wamama wajawazito, tulikuwa wawili halafu wote mabinti wenye afya zetu tu.
Wenye siti zao wakaingia wakaanza kutuangalia kutaka tuwapishe si tukajifanya kama hatuelewi, yule mwenzangu ndiyo kabisa akainamia begi lake akalala wakaanza kutusema.
anatakiwa apulizwe kwanza ndio atapata wazo la dishwasher 😊😊Wanunue dishwasher.
😁😁 shauri yako.😊😊😊😊 Uzee mwisho kwa wajuukuu zako, ukitoka hapo tukikutana unakuwa katoto mritooo 😋😋😋
Una upuuzi mwingi sana.anatakiwa apulizwe kwanza ndio atapata wazo la dishwasher 😊😊
Jiandae safi kimini kizuri nikupitie leo mapemaaa tu 🙂🙂🙂😁😁 shauri yako.
Me na vimini wapi na wapi? Kabati zima lina madera.Jiandae safi kimini kizuri nikupitie leo mapemaaa tu 🙂🙂🙂
kofi kwa kofi , ukileta ngunguri mie nakuwa ngangari , moto kwa moto tu yaani hakuna kukaa kizembe zembe kama jeshini vile 😂😂😂😂Una upuuzi mwingi sana.
Juzi kati nilizingua eeh? Jana ukalipia? Fureshii tu ila 😂.
Aah yaani Dar kama hauna gari na kama nauli za uber au bolt ni za mawazo inakuwa msoto sana aisee[emoji23][emoji23]umeona eeeh!
Ukiwa na usaifiri unapunguza purukushani na usumbufu wa kugombana na watu.
Huku unajenga taratibu..ujenzi huwa hauishi haraka hasa Kwa watu wenye vipato vya kuunga unga.
Sasa fikiria miaka yote 10 umetanguliza kujenga huku unagombania daladala au foleni za mwendokasi.
madela kwani waenda msibaniMe na vimini wapi na wapi? Kabati zima lina madera.
Tit for tat? Tuendelee na show.kofi kwa kofi , ukileta ngunguri mie nakuwa ngangari , moto kwa moto tu yaani hakuna kukaa kizembe zembe kama jeshini vile 😂😂😂😂
Hata kama naenda The Hub' code ni hizo hizo.madela kwani waenda msibani
haya wewe mshindiTit for tat? Tuendelee na show.