Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mimi mwenyewe nishawahi fanya hivyo siku hiyo kwenye kugombea siti si nikavamia za wamama wajawazito, tulikuwa wawili halafu wote mabinti wenye afya zetu tu.

Wenye siti zao wakaingia wakaanza kutuangalia kutaka tuwapishe si tukajifanya kama hatuelewi, yule mwenzangu ndiyo kabisa akainamia begi lake akalala wakaanza kutusema.
Mna tabia mbaya 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23]umeona eeeh!
Ukiwa na usaifiri unapunguza purukushani na usumbufu wa kugombana na watu.

Huku unajenga taratibu..ujenzi huwa hauishi haraka hasa Kwa watu wenye vipato vya kuunga unga.
Sasa fikiria miaka yote 10 umetanguliza kujenga huku unagombania daladala au foleni za mwendokasi.
Aah yaani Dar kama hauna gari na kama nauli za uber au bolt ni za mawazo inakuwa msoto sana aisee
 
Back
Top Bottom