Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
As always!haya wewe mshindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As always!haya wewe mshindi
Hizo sio nguo za emergency 🙂🙂Hata kama naenda The Hub' code ni hizo hizo.
Jana nilikuwa naitazama tu 😀😀😀As always!
You are entitled to your wrong Opinion mkuuNi kweli mkuu,hapo dildo na vibrator ikiwa imefungiwa kabatini muda wowote unaamsha popo ukiamua.
Nilijua.Jana nilikuwa naitazama tu 😀😀😀
Siku ukiwa mitaa ya Singida utupe lift na Depal ukatuache porini huko 😀😀😀 tukaishi kama TazaniScania 420
Nitakutoa kamasi 😀😀😀Nilijua.
Hata mimi juzi niliitizama huku nadance mdundo 😆😆
Me naonaga mtu tabia zake binafsi basi anahisi kila mtu atakuwa na hizo hizo.You are entitled to your wrong Opinion mkuu
Wewe mchawi nini[emoji3]Siku ukiwa mitaa ya Singida utupe lift na Depal ukatuache porini huko [emoji3][emoji3][emoji3] tukaishi kama Tazani
Hahaa si basi tu ajitoe ufahamu, sema Wanajeshi ni watu poa sana.Wanatoa kizembe hivyo? Sidhani... Nilishawahi kupanda zile eicher zao ila najua ilikuwa ni sababu ya T shirt la shule.
Uwezo tu ndio huna 😆😎Nitakutoa kamasi 😀😀😀
Nipitie EA road za Ngara ya chini.Wewe mchawi nini[emoji3]
Nipo singida nimepigwa u turn naelwkea tanga
Hapa sijui ndio mnadani najaza wese
Njia ndio hiyo hiyo.. ka mji nakapenda sana hako hakana mambo mengii next time ukipita hapa tutaonanaWewe mchawi nini[emoji3]
Nipo singida nimepigwa u turn naelwkea tanga
Hapa sijui ndio mnadani najaza wese
Chuga?Nipitie EA road za Ngara ya chini.
Ushanimwaga nini, maana umeweka umoja 😀😀😀Nipitie EA road za Ngara ya chini.
Usipopita kwenye anga zao.Hahaa si basi tu ajitoe ufahamu, sema Wanajeshi ni watu poa sana.
Poa poaNjia ndio hiyo hiyo.. ka mji nakapenda sana hako hakana mambo mengii next time ukipita hapa tutaonana
Kabla ya USA pitia za Kiserian/ moshonoChuga?
Nitatobozea pale airport nikatokee mbele huko usa
PoaKabla ya USA pitia za Kiserian/ moshono
Kabla ya Airport, ngara si unaipitia ?
Au nakusubiri pale inapotokezea ya USA river
Tafuta lift yako. Gari imejaa 😂Ushanimwaga nini, maana umeweka umoja 😀😀😀