Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu anajua kesho yetu ..Yaliyo mema na ya sirini hakuna aijuae kesho yake
Napanda mdogo mdogo
Nipe kituo cha kupokelea
Anatuwazia yaliyo mema.
Akujaalie pia umri mrefu utimize kusudi lake duniani na ukaishi miaka Mingi.
Matoki yakimfikia Hornet nitafanya namna nichukue hata moja [emoji847]