Tanga kwa Mapishi tu hawajawahi niangusha
Kama ulikuwepo[emoji3]Naona kitu cha safari hapo [emoji3][emoji3][emoji3] hayo maharage huwa ni matamuu baraaa, hapo lazima ule vyote mtengenezaji na chakula nyewe
[emoji3]Tanga kwa Mapishi tu hawajawahi niangusha
😀😀😀😀😀 kauza mechi tayari, hata simu huenda hajui zilipo sasa hivi ni mwendo wa kupigwa na vitauro vya vuguvugu na karanga flani hiviiKuna mwamba alisema atatupa mrejesho wa Tanga. Sasa sijui kaamka kakuta nguo zimelowekwa?!! 😛😛😛😛
Wakubwa mnafaidi tu daaaa! umejua kunitoa udenda aseee.. ila hawa wakarimu sanaa, hapo pembeni upate na maziwa safii na ilo yai noma sanaaa, hongera akili hapo ipo safii kabisaa
Dar tabora huwa natumia masaa masaa 11 hadi 12 kuna siku moja nilitumia masaa 9 na dk kadhaa na hiyo nilikuwa nawahi na ilikuwa usikuHivi inawezekana kusafiri kutoka Dar mpaka Tabora kwa masaa ma4 na kidogo?
Wanajua kupika wale, nilikuwa nimepanga kwa mtanga na familia yake likuwa inaishi mahala hapo na karibu na hizo aprtment, binti yake mmoja anafanya kazi bank xxx nimefika pale bank na check yangu naona tabasamuu sijawai lipata toka nimeumbwaa, anajiuliza wanajiua mie net ishakata swali gumu ukisema unamjua au ukisema humjui, nikaishi kucheka . Akanikumbusha nikamuambia akaribie kwangu jioni hiyo kuanzia siku hiyo nikawa nakula mapishi hata kwenye hizi hotel sijawai kula kuanzia usafi msosi nikawa kama familia ila sijawahi kula mpishi hili ni angalizo tu 😁😁😁😁😁Ukanda wa pwani kwa mapishi hawana mpinzani.....inasemekana mapishi yote!
Naona unachekaaa hapo upo vizuri kichwani na mwilini.. umenitamanisha kweli kweli[emoji3]
Hakika MkuuNaona unachekaaa hapo upo vizuri kichwani na mwilini.. umenitamanisha kweli kweli
Defence mechanismWanajua kupika wale, nilikuwa nimepanga kwa mtanga na familia yake likuwa inaishi mahala hapo na karibu na hizo aprtment, binti yake mmoja anafanya kazi bank xxx nimefika pale bank na check yangu naona tabasamuu sijawai lipata toka nimeumbwaa, anajiuliza wanajiua mie net ishakata swali gumu ukisema unamjua au ukisema humjui, nikaishi kucheka . Akanikumbusha nikamuambia akaribie kwangu jioni hiyo kuanzia siku hiyo nikawa nakula mapishi hata kwenye hizi hotel sijawai kula kuanzia usafi msosi nikawa kama familia ila sijawahi kula mpishi hili ni angalizo tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtalaam kwenye ubora wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kauza mechi tayari, hata simu huenda hajui zilipo sasa hivi ni mwendo wa kupigwa na vitauro vya vuguvugu na karanga flani hivii
AlamsikAnakula kwanza halafu ndio anaenda kula.
Vijana wa saw*ya hao!Si ni hadi nipafahamu[emoji3]
Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali
Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa
Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula[emoji1787]
[emoji3][emoji3]Vijana wa saw*ya hao!
Hawafai kabisa.. sio wa kulala nao sehemu moja!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3]
Umegonga penyewe