Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naona kitu cha safari hapo [emoji3][emoji3][emoji3] hayo maharage huwa ni matamuu baraaa, hapo lazima ule vyote mtengenezaji na chakula nyewe
Kama ulikuwepo[emoji3]

Na hivi ndio tukaagana,asubuhi
20210924_080002.jpg
 
Ukanda wa pwani kwa mapishi hawana mpinzani.....inasemekana mapishi yote!
Wanajua kupika wale, nilikuwa nimepanga kwa mtanga na familia yake likuwa inaishi mahala hapo na karibu na hizo aprtment, binti yake mmoja anafanya kazi bank xxx nimefika pale bank na check yangu naona tabasamuu sijawai lipata toka nimeumbwaa, anajiuliza wanajiua mie net ishakata swali gumu ukisema unamjua au ukisema humjui, nikaishi kucheka . Akanikumbusha nikamuambia akaribie kwangu jioni hiyo kuanzia siku hiyo nikawa nakula mapishi hata kwenye hizi hotel sijawai kula kuanzia usafi msosi nikawa kama familia ila sijawahi kula mpishi hili ni angalizo tu 😁😁😁😁😁
 
Wanajua kupika wale, nilikuwa nimepanga kwa mtanga na familia yake likuwa inaishi mahala hapo na karibu na hizo aprtment, binti yake mmoja anafanya kazi bank xxx nimefika pale bank na check yangu naona tabasamuu sijawai lipata toka nimeumbwaa, anajiuliza wanajiua mie net ishakata swali gumu ukisema unamjua au ukisema humjui, nikaishi kucheka . Akanikumbusha nikamuambia akaribie kwangu jioni hiyo kuanzia siku hiyo nikawa nakula mapishi hata kwenye hizi hotel sijawai kula kuanzia usafi msosi nikawa kama familia ila sijawahi kula mpishi hili ni angalizo tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Defence mechanism

Aya ya mwisho[emoji3]
 
Si ni hadi nipafahamu[emoji3]

Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali

Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa

Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula[emoji1787]
Vijana wa saw*ya hao!
Hawafai kabisa.. sio wa kulala nao sehemu moja!


Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom