Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni kuwa makini na kufuata tu sheria za barabarani ili usisumbuane nao

Ila ukijijua ni rough rider na hufuati sheria lazima uangaze macho kuwatafuta
Hawa jamaa sio! Unaweza kuamua kufuata sheria zote halafu kuna mahali unakuta wameondoa kibao cha 50 limit, unashangaa unaoneshwa picha umepita na 100kph kwenye 50kph
 
Jana nilikutwa na 165 kwenye 50. Nilikuwa nafuata cruiser moja nyuma. Yeye akapeta mi nikapigwa mkono. Kulikuwa na spacio nyuma ikapigwa mkono ikasimama kwa sekunde kadhaa ikaamsha. Nikaishia mimi kumpoza jamaa kwa niaba yao nikamwambia tuko pamoja achukue ya kubrashia viatu tutembee.

Ukiwa jasiri na una bahati unaweza ukapigwa mkono na ukapeta wasikufanye lolote. Nishawahi fanya hivo nikiwa nyuma ya msafara wa V8 tatu
 
Nishazoea kufuata speed limit shida ni pale wanapoondoa vibao.
 
Huyo Mchina yukoje? Huwa namuona najisemea hiiiiiiiiiiii
Proper sana sema turbo gasoline 2.0L so feels underpowered hasa kwa mimi niliyelizoea jini langu. Zina interior nzuri sana na very spacious.

Zina mlango mzito kama wa mkoloni umeniharibu, now kila nikifungua mlango wa hiki kiteksi naona kama nafungua kizibo tu.

Its 2.7 tons linakula mafuta sana, 5kmpl japo displacemement ni ndogo
 
Proper sana sema turbo gasoline 2.0L so feels underpowered hasa kwa mimi niliyelizoea jini langu. Zina interior nzuri sana na very spacious.
Kuna jamaa alinunua i think inaitwa Land wind something like that, 2011 kufika 2014 kila kitu ndani ya gari kimeng'oka! Yaani vents,panels na vitu vidogo vidogo. Gari ina miaka mitatu tu!
 
Hahaha hili ni la 2018 lina 15000km so far, kila kitu ndani na nje kimenyooka. Ila tuone kwa matumizi ya mbongo itakuwaje.
 
Back
Top Bottom