Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jana nilikutwa na 165 kwenye 50. Nilikuwa nafuata cruiser moja nyuma. Yeye akapeta mi nikapigwa mkono. Kulikuwa na spacio nyuma ikapigwa mkono ikasimama kwa sekunde kadhaa ikaamsha. Nikaishia mimi kumpoza jamaa kwa niaba yao nikamwambia tuko pamoja achukue ya kubrashia viatu tutembee.

Ukiwa jasiri na una bahati unaweza ukapigwa mkono na ukapeta wasikufanye lolote. Nishawahi fanya hivo nikiwa nyuma ya msafara wa V8 tatu
Ukiwa na wewe uko na li Prado hivi huguswi ila kama una passo unaonekana kabisa Masai kaingia disko
 
Hahaaa i think jamaa uzi ndiyo kauona leo! Maana huyo aliyereply siye yule aliyemuuliza hilo swali!

Lakini bora huyo umenikumbusha kuna mtu nilikuta amereply uzi wa miaka saba iliyopita! Yaani uzi wa 2014 kaureply 2021 watu walimshangaa sana!

Na uzi wenyewe mtoa mada alikuwa anaomba ushauri kwa mtaji wa 30K aanze na biashara gani! Na mtoa mada mwenyewe last activity yake ilikuwa 2018 huko sijui!

Sasa hata kufikiria tu kwamba huyo mtu baada ya miaka saba bado tu atakuwa na hiyo hiyo 30K na bado anaomba ushauri afanyie nini! Mimi ndiyo maana kabla sijachangia uzi wowote au kumquote member yoyote huwa naangalia kwanza!

Naangalia huo uzi una muda gani na last activity ya huyo ninayetaka kumquote je ni active member au dormant au unaweza kuta ni extinct kabisa! Huwa nareply kama member ni active tu!

JF bhana unaweza dhani watu wame time travel! Maana unaweza kuta yule aliyereply kweli alirudi back in time hadi 2014 sema tu sisi huku ndiyo hatujui tunabeza tu hahaaa!
Ni kwel mommah,
 
Hawa jamaa sio! Unaweza kuamua kufuata sheria zote halafu kuna mahali unakuta wameondoa kibao cha 50 limit, unashangaa unaoneshwa picha umepita na 100kph kwenye 50kph
Huo uhuni wao sasa ndiyo ambao hupelekea watu kuwa wakali! Kuna makosa mengine wanayatafuta na kuyakuza tu kwa lazima!

Nimekumbuka mzee wangu aliwahi kupita kwenye 50kph zone kufika mbele wakamsimamisha anaambiwa kazidisha eti speed inasoma 57kph!

Akawaambia gari yake speedometer iko katika mfumo wa miles per hour na siyo kms per hour! Yeye aliingia na 35mph akijua kwamba hiyo haichezi mbali na 50kph na haina shida sana!

Yule traffic akawa anakomaa tu oo umezidisha 7 sijui nini! Mzee ikabidi aanze kuwa mkali akamuambia "kwahiyo we mama umenisimamisha hapa barabarani muda wote huo tunabishana kisa hizo 7 tu" hahaaa alikomaa kweli ikabidi traffic amuachie tu!
 
Kuna jamaa alinunua i think inaitwa Land wind something like that, 2011 kufika 2014 kila kitu ndani ya gari kimeng'oka! Yaani vents,panels na vitu vidogo vidogo. Gari ina miaka mitatu tu!
Duuh hizi Land Wind si ndiyo zile mchina alitoa copy ukiiangalia hivi Range Rover hii hapa. Kasoro vitu vichache tu ndiyo walibadilisha.

Nilisikia hadi Land Rover waliwashitaki kwa kucopy bila makubaliano yoyote sasa sijui waliishia wapi. Daah Wachina ni copycats balaa.
 
Duuh hizi Land Wind si ndiyo zile mchina alitoa copy ukiiangalia hivi Range Rover hii hapa. Kasoro vitu vichache tu ndiyo walibadilisha.

Nilisikia hadi Land Rover waliwashitaki kwa kucopy bila makubaliano yoyote sasa sijui waliishia wapi. Daah Wachina ni copycats balaa.
Jamii hio hio za mwanzo kabla hajaamua kutoa photocopy ya LR Evoque
 
Mungu nijalie nimshinde huyu shetani
IMG_20211008_152852_3.jpg


IMG_20211008_161250_3.jpg
 
Back
Top Bottom