ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kuna sheria ni unnecessary. Solution: nunua gari ambazo askari hawazisimamishi au tembea usiku.Ni kuwa makini na kufuata tu sheria za barabarani ili usisumbuane nao
Ila ukijijua ni rough rider na hufuati sheria lazima uangaze macho kuwatafuta
Hawa jamaa sio! Unaweza kuamua kufuata sheria zote halafu kuna mahali unakuta wameondoa kibao cha 50 limit, unashangaa unaoneshwa picha umepita na 100kph kwenye 50kphNi kuwa makini na kufuata tu sheria za barabarani ili usisumbuane nao
Ila ukijijua ni rough rider na hufuati sheria lazima uangaze macho kuwatafuta
Jana nilikutwa na 165 kwenye 50. Nilikuwa nafuata cruiser moja nyuma. Yeye akapeta mi nikapigwa mkono. Kulikuwa na spacio nyuma ikapigwa mkono ikasimama kwa sekunde kadhaa ikaamsha. Nikaishia mimi kumpoza jamaa kwa niaba yao nikamwambia tuko pamoja achukue ya kubrashia viatu tutembee.Hawa jamaa sio! Unaweza kuamua kufuata sheria zote halafu kuna mahali unakuta wameondoa kibao cha 50 limit, unashangaa unaoneshwa picha umepita na 100kph kwenye 50kph
Niliteketeza lisaa pale ila nikasepa kwa onyo bila fineSilaha yao kubwa ni kukupotezea muda. Anajua hutapenda kupoteza muda so you gonna negotiate in his favor!
Atiii 😁ni rough rider
Nishazoea kufuata speed limit shida ni pale wanapoondoa vibao.Jana nilikutwa na 165 kwenye 50. Nilikuwa nafuata cruiser moja nyuma. Yeye akapeta mi nikapigwa mkono. Kulikuwa na spacio nyuma ikapigwa mkono ikasimama kwa sekunde kadhaa ikaamsha. Nikaishia mimi kumpoza jamaa kwa niaba yao nikamwambia tuko pamoja achukue ya kubrashia viatu tutembee.
Ukiwa jasiri na una bahati unaweza ukapigwa mkono na ukapeta wasikufanye lolote. Nishawahi fanya hivo nikiwa nyuma ya msafara wa V8 tatu
Mshkaji wangu kamvua muhindi Haval... hizi SUV zinazotumika na RPCs.Hapo kwenye kununua hizo gari kipengele...😀😀😀😛😛
Ingeniuma sana aisee.Lisaa sio mbaya umeokoa 30,000/-
Inabidi kuchungulia vibao vya [emoji732][emoji778] upande wa pili kwenye side mirrorNishazoea kufuata speed limit shida ni pale wanapoondoa vibao.
Proper sana sema turbo gasoline 2.0L so feels underpowered hasa kwa mimi niliyelizoea jini langu. Zina interior nzuri sana na very spacious.Huyo Mchina yukoje? Huwa namuona najisemea hiiiiiiiiiiii
Kuna jamaa alinunua i think inaitwa Land wind something like that, 2011 kufika 2014 kila kitu ndani ya gari kimeng'oka! Yaani vents,panels na vitu vidogo vidogo. Gari ina miaka mitatu tu!Proper sana sema turbo gasoline 2.0L so feels underpowered hasa kwa mimi niliyelizoea jini langu. Zina interior nzuri sana na very spacious.
Jini lipi tena. Lile lile nilishawahi kuliona hapa?Proper sana sema turbo gasoline 2.0L so feels underpowered hasa kwa mimi niliyelizoea jini langu. Zina interior nzuri sana na very spacious.
Hahaha hili ni la 2018 lina 15000km so far, kila kitu ndani na nje kimenyooka. Ila tuone kwa matumizi ya mbongo itakuwaje.Kuna jamaa alinunua i think inaitwa Land wind something like that, 2011 kufika 2014 kila kitu ndani ya gari kimeng'oka! Yaani vents,panels na vitu vidogo vidogo. Gari ina miaka mitatu tu!
Ndio mkuuJini lipi tena. Lile lile nilishawahi kuliona hapa?