Na hapo ndipo penye mtihani. Magari ambayo hayasimamishwi kwa asilimia kubwa ni ajili ya watu walio kwenye uchumi wa juu na kutembea usiku nacho ni kipaji kama vipaji vingine. [emoji16] [emoji3]Kuna sheria ni unnecessary. Solution: nunua gari ambazo askari hawazisimamishi au tembea usiku.
I still choose night drive as the best option! Lami imepoa kwanza hamna shida ya matairi wala tochi!😅Ni kuwa makini na kufuata tu sheria za barabarani ili usisumbuane nao
Ila ukijijua ni rough rider na hufuati sheria lazima uangaze macho kuwatafuta
Wee nichelewe nigundue nn tena? [emoji23][emoji23][emoji23]Uko mshap. Maana nimeifuta chap.
Ukiwa na wewe uko na li Prado hivi huguswi ila kama una passo unaonekana kabisa Masai kaingia diskoJana nilikutwa na 165 kwenye 50. Nilikuwa nafuata cruiser moja nyuma. Yeye akapeta mi nikapigwa mkono. Kulikuwa na spacio nyuma ikapigwa mkono ikasimama kwa sekunde kadhaa ikaamsha. Nikaishia mimi kumpoza jamaa kwa niaba yao nikamwambia tuko pamoja achukue ya kubrashia viatu tutembee.
Ukiwa jasiri na una bahati unaweza ukapigwa mkono na ukapeta wasikufanye lolote. Nishawahi fanya hivo nikiwa nyuma ya msafara wa V8 tatu
Ni kwel mommah,Hahaaa i think jamaa uzi ndiyo kauona leo! Maana huyo aliyereply siye yule aliyemuuliza hilo swali!
Lakini bora huyo umenikumbusha kuna mtu nilikuta amereply uzi wa miaka saba iliyopita! Yaani uzi wa 2014 kaureply 2021 watu walimshangaa sana!
Na uzi wenyewe mtoa mada alikuwa anaomba ushauri kwa mtaji wa 30K aanze na biashara gani! Na mtoa mada mwenyewe last activity yake ilikuwa 2018 huko sijui!
Sasa hata kufikiria tu kwamba huyo mtu baada ya miaka saba bado tu atakuwa na hiyo hiyo 30K na bado anaomba ushauri afanyie nini! Mimi ndiyo maana kabla sijachangia uzi wowote au kumquote member yoyote huwa naangalia kwanza!
Naangalia huo uzi una muda gani na last activity ya huyo ninayetaka kumquote je ni active member au dormant au unaweza kuta ni extinct kabisa! Huwa nareply kama member ni active tu!
JF bhana unaweza dhani watu wame time travel! Maana unaweza kuta yule aliyereply kweli alirudi back in time hadi 2014 sema tu sisi huku ndiyo hatujui tunabeza tu hahaaa!
Huo uhuni wao sasa ndiyo ambao hupelekea watu kuwa wakali! Kuna makosa mengine wanayatafuta na kuyakuza tu kwa lazima!Hawa jamaa sio! Unaweza kuamua kufuata sheria zote halafu kuna mahali unakuta wameondoa kibao cha 50 limit, unashangaa unaoneshwa picha umepita na 100kph kwenye 50kph
Hahaa kichwa Chako kibovuAtiii [emoji16]
Seat ya mbele. Kimguu juu ya dashboard View attachment 1966681
Duuh hizi Land Wind si ndiyo zile mchina alitoa copy ukiiangalia hivi Range Rover hii hapa. Kasoro vitu vichache tu ndiyo walibadilisha.Kuna jamaa alinunua i think inaitwa Land wind something like that, 2011 kufika 2014 kila kitu ndani ya gari kimeng'oka! Yaani vents,panels na vitu vidogo vidogo. Gari ina miaka mitatu tu!
Jamii hio hio za mwanzo kabla hajaamua kutoa photocopy ya LR EvoqueDuuh hizi Land Wind si ndiyo zile mchina alitoa copy ukiiangalia hivi Range Rover hii hapa. Kasoro vitu vichache tu ndiyo walibadilisha.
Nilisikia hadi Land Rover waliwashitaki kwa kucopy bila makubaliano yoyote sasa sijui waliishia wapi. Daah Wachina ni copycats balaa.
Tatizo ni malori na usalama mdogo hasa ukipata shida. Na kama una uoni hafifu ndio balaa.I still choose night drive as the best option! Lami imepoa kwanza hamna shida ya matairi wala tochi![emoji28]
I still choose night drive as the best option! Lami imepoa kwanza hamna shida ya matairi wala tochi!😅
Wewe Jamaa nakukubali sana hasa kwenye worship songs.
Hatari sanaa hapo ukiipa lift pisi kali hutongozi kbc unanyoosha moja kwa moja hotelini mkuu[emoji23]
Naomba buku ten!
Wanawake ndo tumeshuka thamani kiasi hicho?Hatari sanaa hapo ukiipa lift pisi kali hutongozi kbc unanyoosha moja kwa moja hotelini mkuu[emoji23]