Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hehe hakunaga vya bure mama! Na wenyewe wanakuambia hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke kwahiyo akikupa na hela ndiyo kabisa ujiongeze!

Hii dunia ya sasa watu hawana huruma! Kama mtu anaweza kumgeuza mwanaume mwenzie eti kisa tu kampa hela sembuse wewe mwanamke ambaye maumbile yanaruhusu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wewe umeandika[emoji3][emoji848]

Kumbe unaujua utamu

Mbona..[emoji41][emoji23][emoji848]
Haha kwani kuhusu utamu si ni wewe ndiyo umeanza kuandika mkuu mbona mimi hakuna mahali nimesema kama naujua huo utamu ama siujui

Halafu utamu ni neno subjective hutofautiana baina ya mtu na mtu kitu kitamu kwako si lazima kiwe kitamu kwa mwingine (hii ni kwa kila kitu)
 
Hehe hakunaga vya bure mama! Na wenyewe wanakuambia hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke kwahiyo akikupa na hela ndiyo kabisa ujiongeze!

Hii dunia ya sasa watu hawana huruma! Kama mtu anaweza kumgeuza mwanaume mwenzie eti kisa tu kampa hela sembuse wewe mwanamke ambaye maumbile yanaruhusu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana khaaaah, nlitaka niseme neno, bas nimeona niweke chini tyuuh.
 
Haha kwani kuhusu utamu si ni wewe ndiyo umeanza kuandika mkuu mbona mimi hakuna mahali nimesema kama naujua huo utamu ama siujui

Halafu utamu ni neno subjective hutofautiana baina ya mtu na mtu kitu kitamu kwako si lazima kiwe kitamu kwa mwingine (hii ni kwa kila kitu)
Hapo kwenye mabano umemaliza

Niwatakie wikend njema

Wacha nipumzike baadae nina kibarua [emoji3]

Nawapenda wote[emoji2321]
 
Back
Top Bottom