Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huko nitoe

Ukweli sitafika

Dhambi zangu nilivyozihesabu

Zinazidi honi za mwendokasi toka ilipoanza[emoji3]
Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama Bendera,zitakuwa nyeupe kama theluji na sufu .

Tazama wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.

Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wenyewe,wala kweli haimo kwetu,bali tukiziungama Yeye ni mwaminifu atatusamehe na kutuepusha na udhalimu wote.

Alikuja kwa walio na dhambi,,,
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa wana,watoto wa Mungu..ndiyo wale waliaminilo Jina lake .

Mtu akiwa ndani ya Kristo anakuwa kiumbe kipya;ya kale yote hupita,na tazama yanakuwa mapya.
 
Aisee

Mama mchungaji

Mke kama wewe

Mie sikufai unaijua biblia mno

Huko napotembea nakutana na vitu yaani vitu..

Itoshe kusema

Hufai kuolewa na paka/fisi/jibwa kama mimi

Mie onja onja/ lambalamba

Napenda kujaribu/ kuonja/ kupiga staili mpya

Ila sio ile ya ndoa ya baba na mama
 
Unaonaje ukaokoka mkuu??
Kuokoka ni bure!

Usijiite mbwa,wewe ni wa thamani mno na Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Kama wote wangelikuwa na haki basi Yesu asingelikuja.
 
Unaonaje ukaokoka mkuu??
Kuokoka ni bure!

Usijiite mbwa,wewe ni wa thamani mno na Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Kama wote wangelikuwa na haki basi Yesu asingelikuja.
Mie ni pepo[emoji3]

Wacha nile mema kadri navyobarikiwa[emoji120]

Uthamani huo vipi[emoji872]

Kadhia za barabarani usipime[emoji30]

Itoshe kusema napenda ile kama riki boy

Kuliko

Niteme tu na mahubiri yako[emoji3][emoji23]
 
Na wewe huna alichonacho.

Na vidudu vyenu havina uhusiano kabisa na kazi za nyumbani.

Kidudu hakiogeshi mtoto,,,mikono ndio inayofanya hiyo kazi ..na wote mna mikono miwili na mioyo ya nyama.
Hakuna aliyefungwa engine kwamba hachoki.
Lango la kuzimu unaita kidudu


Ule mhogo wa jang'ombe unaulinganisha na kazi nyumbani kweli

Unatakiwa kupelekwa unyagoni

Ukafundwe!
 
Kama huko unyagoni wanafunda kuweka engine mikononi ili mtu afanye kazi bila kuchoka,basi nitaenda.
Mmh!

Juzi nilikuwa Naii nikiangalia athletes pale

Moi kasarani

Kuna vitoto hope venye vilikuwa

Vitakuwa na engine maana vilijituma mbaya kabisa

Itoshe kusema unanipa nguvu ya kupambana

Chuma imeshawaka muda si mrefu nalianzisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…