Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hornet nilianza mpenda hata kabla sijamuona.


She's very charming na hana makuu kabisa.
MUNGU azidi mtunza huyu dada.
Dooh kweli tunatofautiana! Imagine huyo ni kati ya wadada ninaowaogopa humu jf na sijuagi hata kwanini!

Kama wewe ulivyosemaga unamuogopa yule naniliu wakati mimi nimezoeana naye! Kuna watu nawaogopa humu daah!
 
Dooh kweli tunatofautiana! Imagine huyo ni kati ya wadada ninaowaogopa humu jf na sijuagi hata kwanini!

Kama wewe ulivyosemaga unamuogopa yule naniliu wakati mimi nimezoeana naye! Kuna watu nawaogopa humu daah!
[emoji38]
Mpole acha tu,ila bado namuogopa,basi siku tumekutana nilikuwa mpoleee,mdogo kama piriton[emoji23]+ongea Yangu ya taratibu..

Yule namuogopa hata kuongea naye siwezi ...
Kama wewe unavyomuogopa yule dada yangu naniliu[emoji38],,nilienda msalimia..yaani ni mpole kuliko Mimi[emoji16]nikaanza kuogopa.
 
Unaonaje ukaokoka mkuu??
Kuokoka ni bure!

Usijiite mbwa,wewe ni wa thamani mno na Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Kama wote wangelikuwa na haki basi Yesu asingelikuja.
Mama hawa madereva wa magari ya mizigo achana nao tu walishavurugwa! Wengi ukikaa nao huwa wanajisifia kabisa hizo dhambi zao wanazotenda hasa uzinzi!

Na huwa hawako tayari kubadilika kutokana na nature ya kazi yao ni kuwaombea tu kwa muumba awasamehe! Ni wachache sana wanaojielewa na wanaoikwepa hiyo dhambi!
 
Daah ila ninyi madereva wa trucks muumba awasaidie tu! Wengi mmeoa lakini hao wake zenu huwa tunawasikitikia sana maana huwa hamchaguagi wanawake wa kula!
Kuolewa na mwanaume wa haya magari ni kujitafutia presha na stress .
Yaani unatafuta matatizo yalipo.

Mimi mtu akishakuwa tu na kazi ya udereva,ama polisi ..yaani sijiulizi mara 2,2 kufanya maamuzi.
 
Akishaokoka MUNGU anambadilisha.

Yeye pekee kubadilika hawezi,Akimpokea MUNGU anafanyika mpya.
MUNGU anamtengeneza upya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…