Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani πŸ˜‚ sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
vichwa vibovu vile ndio maana ukiwa nao karibu nao ndio utajua ni utopolo kama utopolo wengine, wapo walio smart ila wachache sana
 
Mzee mwenzangu Holy Man hongera sana bana naona wasifu umekaa vyema kwa mtoto wa kinyaki πŸ˜… fanyeni kweli sasa
Huyu kaka nitamtetea popote atakaposemwa.Jamaa nilionana naye nikiwa katika kipindi kibaya mno,,ila kwa maneno yake tu nilipata relief...na zile gospel zake ahhhh!he is truly a holy man.Sijui labda kwa sababu napenda sana kusikia mambo ya kimungu.

mkuu,namuheshimu mno kama kaka yangu wa tumbo mojaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…