Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.

Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
Kweli hali ni ngumu aisee! Bora kubaki single for life 😂
 
Hata mie nashngaa, napika hatari sio najisifia ukweli.. nikipata ugeni naingia jikoni wengine wote wanakaa nje .. nafanya vitu
Daah mnajiamini. Wengine sijui tuna shetani gani siku tukitembelewa na ugeni wa heshima tukipika ndiyo mara umeunguza mara umezidisha chumvi unaonekana bure kabisa wakati tukiwa tunajipikia wenyewe wala hatuharibu yaani shetani mchonganishi sana sijapata kuona. [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
 
wageni wakija ndio mahala pa kuchukua ujiko sasa .. hakikisha unabalance emotion zako
 
Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.

Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
mimi mtoto wa mtu ataniharibia ratiba zangu na style ya kuosha vyombo
 
Back
Top Bottom