Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Naelewa unachosema vizuri. Lina kila aina ya mtu ila wenzangu na mie ni wengi zaidi. Napenda nidhamu yao wana mazuri mengi zaidi kuliko mapungufu, na mapungufu ni ya mtu binafsiYeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.