Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.
Naelewa unachosema vizuri. Lina kila aina ya mtu ila wenzangu na mie ni wengi zaidi. Napenda nidhamu yao wana mazuri mengi zaidi kuliko mapungufu, na mapungufu ni ya mtu binafsi
 
Hebu wapuuzieni hao wanaowaletea ubabe na muache kulijudge jeshi lote! Ni kama nilivyosema kuwa kila kada ina wanaojielewa na wasiojielewa lakini sheria za jeshi kiujumla haziruhusu kuwaletea ubabe raia sema tu ndiyo hivyo hawawezi kukosekana wapuuzi wa kuvunja sheria.
Aahh sijui ni kupanic tu hata sielewi. Anyway mimi siyo mpishi mzuri sana hivyo napata hofu ninapojua kuna mtu anataka kula chakula nilichopika basi nakuwa najiuliza daah sijui nimepatia sijui atakipenda yaani nawazaga kweli aisee.
 
Back
Top Bottom