Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Yaaan kuna mambo huko nako, anyways I do blv in God's plan, kilichopangwa ndicho kitatokea.Nakuzingua tu "raia mkakamavu"
Naelewa msoto wanaopitia kule, nilivyokua mujibu nilikutana na bro akiwa service ambaye alinifundisha physics form 1 (alikua na degree) .
Alikaa miaka mitano, mabogi yote yanampita tu, ikabidi akubaliane na hali lilivyokuja la pt.
Tatizo wengi kule ni majeshi kunoga, yaani hataki kusikia kitengo kingine zaidi ya Tpdf
Bakabaka lina mzuka. Afu si mmekariri kwamba raia mteru mwingi wakiona kivazi 🤣🤣