Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Pinga tu, ndio maana nimesema una upinzani na mie kila jambo unapinga tuu 😀😀😀😀Sikupingagi unajua. Ila kwa la SA napinga 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinga tu, ndio maana nimesema una upinzani na mie kila jambo unapinga tuu 😀😀😀😀Sikupingagi unajua. Ila kwa la SA napinga 🤣
Hapana. JW viherehere tu, wanasahau wote ni shimo moja tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo mnatukanisha majeshi yote na idara zote za ulinzi na usalama! Mnafanya hadi jwtz wote tuonekane bure kabisa!
Sasa hawa umewaingiza sasa hivi! Wale wengine ndiyo nilikuwa nasema siyo wapole!Naomba niwatetee jamani.Yaani kama Holy Man yaani dah mpole kuanzia sura yake hadi roho,jamaa ni mlokole mzuri na ana madini sana hasa kwa watu wanaopenda mambo ya kiroho.ISO mpole sana pia ni mcheshi mno,ukikaa naye unacheka muda wote.,,hana makuu kabisa na amenisaidia mno kwenye mambo yetu ya macho...namuagiza hakasiriki na anafanya kitu willingly hadi unapenda.
😅😅😅😅😅😅 aisee ni jambo la faraja kusikia haya maneno mazuri juu ya kijana wangu na mzee mwenzangu Holy Man inapendeza kama umeamua muimarishe udugu wa kaka na dadaHuyu kaka nitamtetea popote atakaposemwa.Jamaa nilionana naye nikiwa katika kipindi kibaya mno,,ila kwa maneno yake tu nilipata relief...na zile gospel zake ahhhh!he is truly a holy man.Sijui labda kwa sababu napenda sana kusikia mambo ya kimungu.
mkuu,namuheshimu mno kama kaka yangu wa tumbo moja😂
Namie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!Sasa hawa umewaingiza sasa hivi! Wale wengine ndiyo nilikuwa nasema siyo wapole!
Ila hao uliowataja sasa hivi Holy Man naweza nikasema anaonesha kabisa kuwa ni mpole sema kuna muda anajitoaga tu ufahamu humu jukwaani. ISO siwezi msemea sana maana sijamuelewa elewa vizuri bado ila kama ndiyo yuko hivyo ulivyosema basi ni jambo jema.
Lingine lipi nilikupinga?Pinga tu, ndio maana nimesema una upinzani na mie kila jambo unapinga tuu 😀😀😀😀
Huyo ni mdogo wangu mbona ipo wazi kabisaa. Goja nimalize vimeo vya kitaifa na kimataifa. Mdogo wangu atakula mema ya nchi hana makuu na hana roho kwanini mtu mwenye roho nyeupe isiyo na hila😅😅😅😅😅😅 aisee ni jambo la faraja kusikia haya maneno mazuri juu ya kijana wangu na mzee mwenzangu Holy Man inapendeza kama umeamua muimarishe udugu wa kaka na dada
Mshua ni Mjeda ehSi kweli, kuna mshikaji wangu mmoja anapika hatari, na hajasomea FP.
X mmoja anapika mpaka ana'bake na hata certificate ya FP hana.
Mshua wangu anapika . Anakwambia jeshini tulifundishwa kila kitu..
Ninyi wazee wa michemsho msikariri kuwa Men hawajuagi kupika. Sema wengi wana uvivu, namtaniaga mshua nimemiss wali maini wako [emoji1787] anasema umweni wote niwapikie
Unayajua nikishusha list hapa kama list ya mapapa fisaidi aliyoyataja Dr Slaa pale mwembe yangaLingine lipi nilikupinga?
Wanazipush sana halafu hawana tahadhari na Ndo chanzo cha ajali hapoAisee pole yao wote waliohusika katika ajali sema hawa jamaa wenye IST sijui wanajihisigi wana super cars yani! Huwa wana vurugu sana huko highway ukiangalia kagari kenyewe kadogo il wanazipushigi utafikiri ni buggati labda na overtake zisizo na maana kwenye blind spots!
Na kweli nyie ni bure ingawa sio wote. Wapo wachache sana walio smart ila sasa samaki mmoja akioza wotee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo mnatukanisha majeshi yote na idara zote za ulinzi na usalama! Mnafanya hadi jwtz wote tuonekane bure kabisa!
Yani mi sielewagi unaanzaje kutanua huoni mbele kama kuko clearWanazipush sana halafu hawana tahadhari na Ndo chanzo cha ajali hapo
wana kale ka ubabe mie mjeshi kwamba hagusiku, kumbe ushamba tuWanazipush sana halafu hawana tahadhari na Ndo chanzo cha ajali hapo
Uchanga wa uderevaYani mi sielewagi unaanzaje kutanua huoni mbele kama kuko clear
Hahahahah umeongea kama mwanasiasa nguli 😂Huyo ni mdogo wangu mbona ipo wazi kabisaa. Goja nimalize vimeo vya kitaifa na kimataifa. Mdogo wangu atakula mema ya nchi hana makuu na hana roho kwanini mtu mwenye roho nyeupe isiyo na hila
Depal humu pekee ndio hanielewi ndio mpinzani wangu mkuu sanaHahahahah umeongea kama mwanasiasa nguli 😂
Utakuja kunidondoshea hilo file nami nile upako!chakula zangu hizi asee..
View attachment 1969170
Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.solution yetu malegendary[emoji23]
[emoji23][emoji23]kila nikiwaza lifrstyle yangu aisee sijui kama kuna mtoto wa mtu ataendana nayo.
Muhimu sana mkuuUtakuja kunidondoshea hilo file nami nile upako!