Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Sasa hawa umewaingiza sasa hivi! Wale wengine ndiyo nilikuwa nasema siyo wapole!

Ila hao uliowataja sasa hivi Holy Man naweza nikasema anaonesha kabisa kuwa ni mpole sema kuna muda anajitoaga tu ufahamu humu jukwaani. ISO siwezi msemea sana maana sijamuelewa elewa vizuri bado ila kama ndiyo yuko hivyo ulivyosema basi ni jambo jema.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aisee ni jambo la faraja kusikia haya maneno mazuri juu ya kijana wangu na mzee mwenzangu Holy Man inapendeza kama umeamua muimarishe udugu wa kaka na dada
 
Namie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aisee ni jambo la faraja kusikia haya maneno mazuri juu ya kijana wangu na mzee mwenzangu Holy Man inapendeza kama umeamua muimarishe udugu wa kaka na dada
Huyo ni mdogo wangu mbona ipo wazi kabisaa. Goja nimalize vimeo vya kitaifa na kimataifa. Mdogo wangu atakula mema ya nchi hana makuu na hana roho kwanini mtu mwenye roho nyeupe isiyo na hila
 
Mshua ni Mjeda eh
 
Wanazipush sana halafu hawana tahadhari na Ndo chanzo cha ajali hapo
 
solution yetu malegendary[emoji23]
[emoji23][emoji23]kila nikiwaza lifrstyle yangu aisee sijui kama kuna mtoto wa mtu ataendana nayo.
Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.

Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ