Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yaaan kuna mambo huko nako, anyways I do blv in God's plan, kilichopangwa ndicho kitatokea.


Bakabaka lina mzuka. Afu si mmekariri kwamba raia mteru mwingi wakiona kivazi 🤣🤣
 
Bora JWTZ, tiss wanapenda utapeli tapeli. JWTZ wao hawaendi ile ki smart ila walau .. tiss smart ila janja janaja nyingi dk sifuri anakupiaga na hauna pa kumpeleka ndio ubabe wao
Haha sasa mtu amesomea mbinu nyeti za wizi wizi hadi wa kimtandao ataacha kuwa tapeli kweli. Anyway tunarudi pale pale kuwa siyo wote wapo wanaofanya kazi kwa weledi.
 
Hapo nilishasoma mashule yao msoto naujua japo kwa aslimia 1 [emoji1787] nikaona mbona ngoma nzito? Cha kufia nini pumzi zenyewe za kuku
Haha ni kweli kama pumzi ni shida inakuwa mtihani! Lakini pumzi si inatafutwa tu kuna mazoezi ya kutafuta pumzi maana hata mwenyewe wakati ndiyo naanza jkt nilikuwa sina pumzi ila with time unazoea maana mazoezi na madoso hayakwepeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…