Hahah [emoji23]Nimekumbuka TPDF tulikuwaga tunaimba
Mungu mbariki mwanajeshi
Usimbariki polisi
Anapiga push up kwenye godoro
Sasa ole wao vijana wakaimbe hivyo kule CCP ndiyo watajua hawajui
Sio wote boss, wengine wana tu. Ingawa wanaa nao wapoleo nimejua mandata humu, acha niwe makini kabisaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] hakuna kukutana tena mwana jf unatokea unaambiwa ndio nilikua nakandia
Mkuu mwenyewePesa ndio mpango mzima mkuu
Haha NahiNatumaini itakuwa level 3
I know.Hizo mnapangiwa mama. Ikitokea nitaenda tu.
Yaani nimeshangaa Dar hakuna joto kama ilivyo Kyela.Mimi nashangaa unatoka rungwe umevaa koti ukishuka kuja kyela tu unakutana na moto dar ikasome
Nimeelewa[emoji23][emoji23][emoji23],nilijitia tu uchiziIna maana sapoti yangu hujaielewa hapo au unajitia uchizi?[emoji28]
Tulia.Hahaaa nilikuwa sijaelewa kumbe bebe mjeshi? Yuko TMA kabisa ama?
Kipengele huo mruko. Watoto wa mabrigedia in sheeeda.Haha Nahi
Haha tena push ups za ngumiHahah [emoji23]
[emoji445] Sisi push-ups kwenye kokoto
Polisi kwenye godoro
Watawasulubu mbaya, tena wakufunzi wa ccp wanajuaga kabisa kuwa madogo wamepita Jkt hivyo wanadharau polisi
Yeah SureI know.
Najua pia unajua kuna kohonga ili jina litoke.
Sijui lile ziwaYaani nimeshangaa Dar hakuna joto kama ilivyo Kyela.
Ila pale katikati ya Tukuyu na Mbeya,ile baridi[emoji119][emoji119][emoji119]+ukungu.
Kyela huwa naenda sana hasa vijijjini huko, yaani kulala usiku tu ni shughuli,lile joto[emoji119]
[emoji3][emoji3][emoji3]Tulia.
U'Lt Monduli na Moro vinakuita au mwanza.
chuchuuuu totoooo ajigiii jigiii 😊😊😊😊Mkuu mwenyewe
Shangaziyoochuchuuuu totoooo ajigiii jigiii 😊😊😊😊
Itakuwa.Sijui lile ziwa
miandiko yenu inasema ndivyo mlivyoSio wote boss, wengine wana tu. Ingawa wanaa nao wapo
Kuna hadi watoto wa kiume washashuka thamani pesa kitu kingine aisee.Hahaaa nilijua tu lazima kuna mtu atakuja kumjibu hivi yaani nilikuwa nalisubiria tu hili jibu! Anyway yawezekana yeye alipomuomba alitania tu ila ni kweli wanawake tumeshuka thamani sana na kwa asilimia kubwa tumejishusha wenyewe!
Dah [emoji3]miandiko yenu inasema ndivyo mlivyo