Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimekumbuka TPDF tulikuwaga tunaimba

Mungu mbariki mwanajeshi
Usimbariki polisi
Anapiga push up kwenye godoro

Sasa ole wao vijana wakaimbe hivyo kule CCP ndiyo watajua hawajui
Hahah [emoji23]
[emoji445] Sisi push-ups kwenye kokoto
Polisi kwenye godoro

Watawasulubu mbaya, tena wakufunzi wa ccp wanajuaga kabisa kuwa madogo wamepita Jkt hivyo wanadharau polisi
 
Mimi nashangaa unatoka rungwe umevaa koti ukishuka kuja kyela tu unakutana na moto dar ikasome
Yaani nimeshangaa Dar hakuna joto kama ilivyo Kyela.
Ila pale katikati ya Tukuyu na Mbeya,ile baridi[emoji119][emoji119][emoji119]+ukungu.

Kyela huwa naenda sana hasa vijijjini huko, yaani kulala usiku tu ni shughuli,lile joto[emoji119]
 
Hahah [emoji23]
[emoji445] Sisi push-ups kwenye kokoto
Polisi kwenye godoro

Watawasulubu mbaya, tena wakufunzi wa ccp wanajuaga kabisa kuwa madogo wamepita Jkt hivyo wanadharau polisi
Haha tena push ups za ngumi

Yeah polisi wanaelewa hilo na ni kweli kuna wanajeshi wanawadharau polisi wanawachukuliaga kama raia tu

Nasikia kule wanabeba hadi pasi za mkaa kwa ajili ya kunyooshea nguo

TPDF huo muda mnaupata wapi na wakati muda wote mnaroll kwenye matope
 
Hivi na sisi tusio na magari tunaruhisiwa kuweka picha?
IMG_20211009_180447_9.jpg
 
Back
Top Bottom