Miss you too
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wala siwachukii huwa nawashangaa tu at the same time mtu akisema anawachukia simshangai.
Haha hamna nyingine wanatunga tu. Kuna adhabu nyingine unaona kabisa binadamu wa kawaida hawezi kufanya na akifanya atakufa sasa kwanini wakuue bila sababu.Duh kwahio wewe unasema zile adhabu za ajabu huwa hamna? Na wewe Una generalize sio waTz wote wanachukia wanajeshi au polisi.
Ohoo anapachukulia poa huyu. Kwa mtu kama yeye aliyezoea kuishi mkoa wenye baridi kama Mbeya nilitegemea akija Dar ataanza kulalamika joto na pengine akashindwa kabisa kuishi.Mwambie joto halijaanza
Ila baada ya kujua wewe mjeshi nimepata majibu ya maswali mengi juu yako.😎Haha hamna nyingine wanatunga tu. Kuna adhabu nyingine unaona kabisa binadamu wa kawaida hawezi kufanya na akifanya atakufa sasa kwanini wakuue bila sababu.
Yeah kweli siyo raia wote wanatuchukia. Wengine wanatuelewa sana na tunaishi nao fresh tu sema ndiyo hivyo baadhi yetu wanaovunja sheria ndiyo wanatuangusha.
Mzee nasubiri tuingia E nivute chuma nyingineNamba zinatembea sasa hivi balaa! DU zimekimbia balaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila baada ya kujua wewe mjeshi nimepata majibu ya maswali mengi juu yako.[emoji41]
Umeninyong'onezaIla baada ya kujua wewe mjeshi nimepata majibu ya maswali mengi juu yako.[emoji41]
Mimi naishi uswahilini sana halafu mchana nazunguka maeneo mbalimbali kuzungusha karanga zangu[emoji2960],ila bado sijaona kama kuna joto.Inategemea na maeneo hata anayeishi Mbweni atakuambia Dar hakuna Joto ila ukiishi sehemu tofauti tofauti utaelewa
Yaani tena ndio nashuka hapo na daladala.Naingia Dar,hakuna foleni wala joto
Nimepaona hapo stop over, nimekodoa nimuone mtakatifu, wapi[emoji3]
Nimeteleza nipo yard saa hii..
Mangi. .Beb...
Long time
Kyela ina joto kuliko Dar!Ohoo anapachukulia poa huyu. Kwa mtu kama yeye aliyezoea kuishi mkoa wenye baridi kama Mbeya nilitegemea akija Dar ataanza kulalamika joto na pengine akashindwa kabisa kuishi.
Ila cha ajabu mwenzetu ndiyo kwanza anasema eti hakuna joto. Wakati binafsi naona baridi la Dar ndiyo joto la Mbeya na huko Kyela anakosema joto lake ni kama Dar tu.
Pale kwenye zebraYaani tena ndio nashuka hapo na daladala.
Umeondoka haraka,ungeniona.
Nights kadhaa nimezisikia Gospels hapo.Vyombo vipo? Ikiwa naruhusiwa kupokea neno huku nikiwa na red cup yangu mkononi ina mchangayiko wa kvant na stoney tangawizi kwa kufuata ratio za mkemia mkuu ntaweza kuhudhuria mkutano. Ila kama waliookoka watakuwa wananijaji na kunitolea macho ya chuki hapo hapatanifaa.
Jana nilifikia kiwanja kwanza kutoa uchovu wa safari. Zilipigwa gospel live band almost 30 minutes pale tukapata upako wa kutosha na nguvu ya kuagiza round nyingine. Mungu ni mwema.
Nilitamani sana nikurekodie video
Nilijikuta namuelewa kitamboMbona kazi ndio imekuwa rahisi! Sasa hivi namuelewa vizuri[emoji38]