Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh kwahio wewe unasema zile adhabu za ajabu huwa hamna? Na wewe Una generalize sio waTz wote wanachukia wanajeshi au polisi.
Haha hamna nyingine wanatunga tu. Kuna adhabu nyingine unaona kabisa binadamu wa kawaida hawezi kufanya na akifanya atakufa sasa kwanini wakuue bila sababu.

Yeah kweli siyo raia wote wanatuchukia. Wengine wanatuelewa sana na tunaishi nao fresh tu sema ndiyo hivyo baadhi yetu wanaovunja sheria ndiyo wanatuangusha.
 
Mwambie joto halijaanza
Ohoo anapachukulia poa huyu. Kwa mtu kama yeye aliyezoea kuishi mkoa wenye baridi kama Mbeya nilitegemea akija Dar ataanza kulalamika joto na pengine akashindwa kabisa kuishi.

Ila cha ajabu mwenzetu ndiyo kwanza anasema eti hakuna joto. Wakati binafsi naona baridi la Dar ndiyo joto la Mbeya na huko Kyela anakosema joto lake ni kama Dar tu.
 
Ila baada ya kujua wewe mjeshi nimepata majibu ya maswali mengi juu yako.😎
 
Ohoo anapachukulia poa huyu. Kwa mtu kama yeye aliyezoea kuishi mkoa wenye baridi kama Mbeya nilitegemea akija Dar ataanza kulalamika joto na pengine akashindwa kabisa kuishi.

Ila cha ajabu mwenzetu ndiyo kwanza anasema eti hakuna joto. Wakati binafsi naona baridi la Dar ndiyo joto la Mbeya na huko Kyela anakosema joto lake ni kama Dar tu.
Kyela ina joto kuliko Dar!

Yaani hadi naoga maji ya moto asbh!

Au ni joto lipi huwa mnalisema nyie??

Huyo RRONDO kyela amewahi kuishi??
Au tumpeleke ashuhudie joto lake.
 
Vyombo vipo? Ikiwa naruhusiwa kupokea neno huku nikiwa na red cup yangu mkononi ina mchangayiko wa kvant na stoney tangawizi kwa kufuata ratio za mkemia mkuu ntaweza kuhudhuria mkutano. Ila kama waliookoka watakuwa wananijaji na kunitolea macho ya chuki hapo hapatanifaa.

Jana nilifikia kiwanja kwanza kutoa uchovu wa safari. Zilipigwa gospel live band almost 30 minutes pale tukapata upako wa kutosha na nguvu ya kuagiza round nyingine. Mungu ni mwema.

Nilitamani sana nikurekodie video
Nights kadhaa nimezisikia Gospels hapo.
Aiseee .basi Huwa tunacheza hadi basi [emoji38]

Ungenistua nijilipue nije[emoji38]
 
Back
Top Bottom