OnePlus Nord CE
Senior Member
- Feb 5, 2019
- 176
- 347
BMW X6💯💯💯 gari kali sanaKamata tu hilo dude haina jinsi au benz GLE Coupe iko kama BMW X6 ile. SUV ina raha sana mzee
BMW sizipendagi front tuBMW X6💯💯💯 gari kali sana
Ila mimi linanichefua muonekano wake pale mbele tu,, zile vents kama pua za nyati😂. Sijui mzungu aliwaza nini kwa design ile
Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳Hahahahahah walioko on par na Q7 ni Porsche Cayenne, BMW X6 na VW Touarage bila kusahau GL 350
Kadri miaka inavoenda wanaongeza ukubwa wa vents. Audi VW MB BMW wote wanaongeza ukubwa wa vents!BMW X6💯💯💯 gari kali sana
Ila mimi linanichefua muonekano wake pale mbele tu,, zile vents kama pua za nyati😂. Sijui mzungu aliwaza nini kwa design ile
Ni noma😂😂😂Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
Ndio ilikuwa design language ya gari zote sio wao tu angalia hata Toyota na front Grilles za Lexus toka 2016! Nahisi ndio alianzisha wengine waka follow market trendsKadri miaka inavoenda wanaongeza ukubwa wa vents. Audi VW MB BMW wote wanaongeza ukubwa wa vents!
gari ya field hiiTafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
Bado tu hujabadili mawazo?MUNGU anakuona.😀😀😀😀 kusini hunipeleki aseee , jaribu kunishawishi twende
Aahh hamna ni mazoea tu! Yaani unaoga yale maji ya baridi yanayotoa ukungu kabisa tena alfajiri ya saa kumi!
Halafu hata Mbeya baridi siyo kali kivile baridi liko Njombe Makete huko ndiyo makao makuu ya baridi Tanzania! Aisee sijaona wilaya nchi hii inayofikia Makete kwa baridi yaani kule temperature kugonga negative ni jambo la kawaida sana!
Tatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]Bado tu hujabadili mawazo?MUNGU anakuona.
Nitakushawishi tu ukubali kupiga trip za kusini,,uone mandhari na uumbaji wa MUNGU.
Yeah bila kusahau MafingaSahihi Makete,Mufindi huko ni kisanga
Yeah bila kusahau Mafinga
Na mimi piaIla baada ya kujua wewe mjeshi nimepata majibu ya maswali mengi juu yako.😎
Aisee...mimi ni uvivu tu... Mbeya kipande kirefuTatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]
Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Tatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]
Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
Hivi Dar Mbeya na Dar Mwanza /Arusha Wapi mbali?Aisee...mimi ni uvivu tu... Mbeya kipande kirefu
daaah! siasa chafu hizi 😀😀😀😀 hatuna maana hiyo ya kuto kwenda kusiniTatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]
Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
Haha Siku moja mojaAisee...mimi ni uvivu tu... Mbeya kipande kirefu
Ukilinganisha na Mbeya kutoka Dar Mwanza ni Mbali na Arusha ni karibuHivi Dar Mbeya na Dar Mwanza /Arusha Wapi mbali?