Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahahahah walioko on par na Q7 ni Porsche Cayenne, BMW X6 na VW Touarage bila kusahau GL 350
Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
amarok_aventura_01_copy.jpg
 
Sahihi Makete,Mufindi huko ni kisanga
Aahh hamna ni mazoea tu! Yaani unaoga yale maji ya baridi yanayotoa ukungu kabisa tena alfajiri ya saa kumi!

Halafu hata Mbeya baridi siyo kali kivile baridi liko Njombe Makete huko ndiyo makao makuu ya baridi Tanzania! Aisee sijaona wilaya nchi hii inayofikia Makete kwa baridi yaani kule temperature kugonga negative ni jambo la kawaida sana!
 
Bado tu hujabadili mawazo?MUNGU anakuona.
Nitakushawishi tu ukubali kupiga trip za kusini,,uone mandhari na uumbaji wa MUNGU.
Tatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]

Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
 
Aisee...mimi ni uvivu tu... Mbeya kipande kirefu
 
Tatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]

Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nimejua sababu.
Hawatutaki weusi wenye sura za baba zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakini inabidi tuwape moyo,,,mishepu ya kutosha(siyo flat kama kule),,,na hatuna spoko kama huko kaskazini(kidding)
 
Tatizo wameshaambizana kusini hakuna wanawake wazuri wengi weusi na wana sura za baba. Ili umshawishi muambie kwamba watoto wa kinyakyusa na wa kindali ni wazuri. [emoji3][emoji3]

Huko kaskazini wanakoenda sana si huwa wanaambizana kuwa watoto wa kichaga, wa kipare, wa kinyaturu na wa kimbulu nk ni wazuri na weupe. Ndiyo maana wamekomaa huko. [emoji2][emoji2]
daaah! siasa chafu hizi 😀😀😀😀 hatuna maana hiyo ya kuto kwenda kusini
 
Back
Top Bottom