Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ndiyo maana Huwa hutaki kabisa,unasema eti mbeya kushoto[emoji23][emoji23]daaah! siasa chafu hizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatuna maana hiyo ya kuto kwenda kusini
Haha aiseee kama mnazungumzia hii misimamo yangu basi haihusiani kabisa na kazi! Mbona kuna wenzangu kibao tu wameolewa wana familia na ndoa zao ziko vizuri tu!Na mimi pia
Kweli bhana! Tena kabila lenu mnavyopenda wanawake weupe!daaah! siasa chafu hizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatuna maana hiyo ya kuto kwenda kusini
Haha kuna wengine hawaangaliagi shepu! Mradi mwanamke ni mweupe tu basi inatosha!Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nimejua sababu.
Hawatutaki weusi wenye sura za baba zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini inabidi tuwape moyo,,,mishepu ya kutosha(siyo flat kama kule),,,na hatuna spoko kama huko kaskazini(kidding)
Umeendana na ujedaHaha aiseee kama mnazungumzia hii misimamo yangu basi haihusiani kabisa na kazi! Mbona kuna wenzangu kibao tu wameolewa wana familia na ndoa zao ziko vizuri tu!
Na kuna wengine wala siyo wanajeshi wana kazi za kawaida tu tena hawako busy wala nini ila hawataki kabisa kusikia habari za kuolewa! So ni maamuzi tu wala hayahusiani na kazi!
Kuna sehemu inaitwa mufindi kule pasikie tu kule mpaka barafuYeah bila kusahau Mafinga
Mwanza na mbeya mbali sana aiseHivi Dar Mbeya na Dar Mwanza /Arusha Wapi mbali?
Wasukuma hao[emoji23]Haha kuna wengine hawaangaliagi shepu! Mradi mwanamke ni mweupe tu basi inatosha!
Siyo mbali sana.Mwanza na mbeya mbali sana aise
Dah,kumbe kinachowazuia kwenda siyo umbali..Ukilinganisha na Mbeya kutoka Dar Mwanza ni Mbali na Arusha ni karibu
Mbali bestSiyo mbali sana.
Hili la vits chakavu ni kweli mwaka Jana December kuna bakabaka mmoja alinipa lift toka pale chalinze hadi msamvu na vits yake chakavu namba c[emoji1787][emoji1787]Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani [emoji23] sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
Kwani nasema uongo ndugu zangu 😅Hili la vits chakavu ni kweli mwaka Jana December kuna bakabaka mmoja alinipa lift toka pale chalinze hadi msamvu na vits yake chakavu namba c[emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivikuna mmoja kuna siku amenikuta na chuma kimoja nilichukua mahali, nimeingia ofisini kwao wanatoa tu macho [emoji3][emoji3][emoji3].. nimemaliza meeting natoka anakuja niulize mkubwa wao alikuwa ni mtu wangu, anasema unaendeshaje gari kali kuliko boss wako ( yeye kaishajivika u boss kwangu ), akaniambia nifanyie mpango niipate nikamuunganisha na agent alivyosikia bei [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hadi leo naona kaa kimya walipo muambia 99 million akafumba na kinywa chake kawa na adabu
Yeah kote huko kunasubirishwa na MaketeKuna sehemu inaitwa mufindi kule pasikie tu kule mpaka barafu
Wavaa khaki aka wafuga bata wachimbachumvi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wanajila kweli.
Mimi nilichomokea six tukaunganisha, ningejila U-service bora ningerudi kwetu tu au nivae karanga milele kuliko kuvaa khaki [emoji3][emoji23]
Itakuwa wanaangalia pia mikoa gani huwa ina ligi za private cars mara kwa mara si unajua wanapenda ligi hawa! Na mikoa ya kusini asilimia kubwa ya ligi ni za mabasi makubwa!Dah,kumbe kinachowazuia kwenda siyo umbali..
Mbona Mwanza wanaenda,,
Hawakupendi tu Mbeya hawa.
Ubaya wa kyela bana hamna maji na joto lake si mchezoKyela ni wilaya ya ajabu sana Mbeya..ikaamua kujibebea joto.
Usiombe uwe kijijini ambako hakuna umeme na viyoyozi aissee mimi huwa naugua kila nikienda.
JeiwiiNakuzingua tu "raia mkakamavu"
Naelewa msoto wanaopitia kule, nilivyokua mujibu nilikutana na bro akiwa service ambaye alinifundisha physics form 1 (alikua na degree) .
Alikaa miaka mitano, mabogi yote yanampita tu, ikabidi akubaliane na hali lilivyokuja la pt.
Tatizo wengi kule ni majeshi kunoga, yaani hataki kusikia kitengo kingine zaidi ya Tpdf
Hahahahah baka baka misifa sana [emoji1787][emoji1787]Yaaan kuna mambo huko nako, anyways I do blv in God's plan, kilichopangwa ndicho kitatokea.
Bakabaka lina mzuka. Afu si mmekariri kwamba raia mteru mwingi wakiona kivazi [emoji1787][emoji1787]