Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Na mimi pia
Haha aiseee kama mnazungumzia hii misimamo yangu basi haihusiani kabisa na kazi! Mbona kuna wenzangu kibao tu wameolewa wana familia na ndoa zao ziko vizuri tu!

Na kuna wengine wala siyo wanajeshi wana kazi za kawaida tu tena hawako busy wala nini ila hawataki kabisa kusikia habari za kuolewa! So ni maamuzi tu wala hayahusiani na kazi!
 
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nimejua sababu.
Hawatutaki weusi wenye sura za baba zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakini inabidi tuwape moyo,,,mishepu ya kutosha(siyo flat kama kule),,,na hatuna spoko kama huko kaskazini(kidding)
Haha kuna wengine hawaangaliagi shepu! Mradi mwanamke ni mweupe tu basi inatosha!
 
Haha aiseee kama mnazungumzia hii misimamo yangu basi haihusiani kabisa na kazi! Mbona kuna wenzangu kibao tu wameolewa wana familia na ndoa zao ziko vizuri tu!

Na kuna wengine wala siyo wanajeshi wana kazi za kawaida tu tena hawako busy wala nini ila hawataki kabisa kusikia habari za kuolewa! So ni maamuzi tu wala hayahusiani na kazi!
Umeendana na ujeda
 
Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani [emoji23] sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
Hili la vits chakavu ni kweli mwaka Jana December kuna bakabaka mmoja alinipa lift toka pale chalinze hadi msamvu na vits yake chakavu namba c[emoji1787][emoji1787]
 
kuna mmoja kuna siku amenikuta na chuma kimoja nilichukua mahali, nimeingia ofisini kwao wanatoa tu macho [emoji3][emoji3][emoji3].. nimemaliza meeting natoka anakuja niulize mkubwa wao alikuwa ni mtu wangu, anasema unaendeshaje gari kali kuliko boss wako ( yeye kaishajivika u boss kwangu ), akaniambia nifanyie mpango niipate nikamuunganisha na agent alivyosikia bei [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hadi leo naona kaa kimya walipo muambia 99 million akafumba na kinywa chake kawa na adabu
Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivi

Ila hawa wa down ni vitz,ist,spacio ,verosa,akisogea sana crown
 
Nakuzingua tu "raia mkakamavu"

Naelewa msoto wanaopitia kule, nilivyokua mujibu nilikutana na bro akiwa service ambaye alinifundisha physics form 1 (alikua na degree) .

Alikaa miaka mitano, mabogi yote yanampita tu, ikabidi akubaliane na hali lilivyokuja la pt.

Tatizo wengi kule ni majeshi kunoga, yaani hataki kusikia kitengo kingine zaidi ya Tpdf
Jeiwii

Uhamiaji

Tanapa

Kuna afadhali
 
Back
Top Bottom